Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,961
Mkuu mi nataka nimtafute tumalize ubishi kwa dau lolote tena nampa hii yangu wala sihangaiki
Ninachojua watu duniani sasa hivi wanajivunia kujailbreak baadhi ya versions za iOS na sio kuhack security ya iCloud, hapo nyuma kulikuwa na scammers kibao waliokuwa wanajidai wanatoa iCloud walivyoshitukiwa wakapungua
Kama jamaa ataweza ninamhakikishia atakuwa milionea ndani ya mda mfupi kwa sababu mimi nitamtafutia wateja 100 ndani ya wiki mbili
Me kwa kila iphone ntamlipa $700 akitoa icloud