iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Wenye Mahitaj Ya Vioo Vya Iphone 5 Mtafutane Huyu Jamaa kirakapacha
 
Last edited by a moderator:
jaman mm nina iphone 4 tatizo lake kubwa huwa network yake haipo pouwa coz huwa inashija town tu ukitoka njeee ya mji kidogo inapoteza network
 
Nifanyeje ili iPhone yangu iwe na muenekano wa namna hii??
ImageUploadedByJamiiForums1448609409.979121.jpg
 
Ashrafush mwambie aliyekuuzia akutumie password inatoka fasta hiyo unless ni ya wizi which is very dangerous!!
 
dahh mkuu hata sijui huwa natumiaga tu hiyoo App inamahusiano gan na network mkuu naomba nijuze???

Mkuu ios ni operating system ya simu yako
Ili kujua unatumia ipi nenda Settings>General>About kisha angalia Version kama upo ipi?
Kwa iphone 4 version ya mwisho ni 7.1.1
 
Mkuu ios ni operating system ya simu yako
Ili kujua unatumia ipi nenda Settings>General>About kisha angalia Version kama upo ipi?
Kwa iphone 4 version ya mwisho ni 7.1.1

nimeona mkuu inasoma 7.1.2
 
Nataka ninunue iphone 6 ya wizi na ntaweka id yangu make iko unlocked, je ntakatwa CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Nataka ninunue iphone 6 ya wizi na ntaweka id yangu make iko unlocked, je ntakatwa CHIEF MKWAWA

Hauta Kamatwa, Kama Swala N I Cloud, Pia Unaweza Kamatwa Maana Unaweza Kuuziwa Kwa Kulengeshwa,una Nunua Leo Kesho Unakamatwa
 
Last edited by a moderator:
Nina ipad mini.... niliweka security code sasa kuna mtu alijaribu kufungua akashindwa na ikajilock. Sasa inaniambia iPad is disabled, connect to iTunes...... msaada kwa anaejua njia za kuifungua hii...
 
Naweza kudownload video au audio kwa iphone yangu?then nikasikiliza offline badae?msaada wa hy app basi
 
Back
Top Bottom