Pole mkuu hebu hakikisha network yako ipo strong au ikiwezekana tumia wifi, pia kama unatumia iOS 9 fanya ku update mpaka iOS 9.1 ambayo ni latest versionMsaada kidogo wakuu,baada ya kuupdate iOS 7-9 kwenye iPhone 5s Apps store imekuwa ikifunguka hakuna apps zinazoonekana,shida nn hapo?!
Big mistake..usijefanya ivo tena unless awe mgeni na iDevices' coz aki-sign out iCloud bas ishakua yake..bora ya passcord mtakosa wote coz hawez kuifkia iCloud ili ai-sign out acc yako!
Usiiache bila passcord utaikosa kabisa mkuu..
Acha uongo wewe unataka kuwapotosha wenzioBig mistake..usijefanya ivo tena unless awe mgeni na iDevices' coz aki-sign out iCloud bas ishakua yake..bora ya passcord mtakosa wote coz hawez kuifkia iCloud ili ai-sign out acc yako!
Usiiache bila passcord utaikosa kabisa mkuu..
Me iphone yangu iko locked na password, mtu akikosea password front cam inapiga picha na kutuma kwenye email yangu, akinajibu kuzima inafanya hivyo pia. So ikupita kwa mtu unayemfahamu, ni rahisi kuipata. Au hata kutoa matangazo ya picha za mwizi
Hawa wana masihara, naona icloud online iko vizuri unaweza fanya chochote incase simu imeibiwa. fungua web browser yako zen icloud log in kuna option nyingi sana pale za kufanya. kama unataka kuenjoy smart phone basi njoo apple. hizo takataka zingine waachie michepukoBig mistake..usijefanya ivo tena unless awe mgeni na iDevices' coz aki-sign out iCloud bas ishakua yake..bora ya passcord mtakosa wote coz hawez kuifkia iCloud ili ai-sign out acc yako!
Usiiache bila passcord utaikosa kabisa mkuu..
Icloud inauwa soko aisee bora waboreshe tu ziwe zinafunguka
Inaua soko lipi wakat iphone 6s juz tu kwa wiki iliuza nakala karibia milion 5. Apple hajikua chini labda marekani wahame hii dunia
Big mistake..usijefanya ivo tena unless awe mgeni na iDevices' coz aki-sign out iCloud bas ishakua yake..bora ya passcord mtakosa wote coz hawez kuifkia iCloud ili ai-sign out acc yako!
Usiiache bila passcord utaikosa kabisa mkuu..
kuna jamaa anataka niuzia desk top ya apple [mac] mouth na key pad yake tu used tsh ngapi atakuwa hajanipigakumekuwa na post nying kuhusiana na iphone, uzi huu n maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. tupi maswal ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine
HADI MDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPEL wataalamu karibun
Mwenye kioo cha iphone 4s cheupe anichek,,,,lakini pia wale wenye simu zao zina icloud nichek inbox icloud inatoka!!