Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Aggrey kariakoo icloud zinanyofolewa deile
Acha maneno weye
I cloud hii ni mwisho wa shughuli, haifunguliwi kizembe hivyo,
Kwa ufahamu tu, Pistorius mkimbiaji mlemavu wa South Africa, baada ya mauaji ya girl frnd mwanamitindo Reever mahakama ilitaka kujua wiki moja kabla aliwasiliana nini na nani , na baada ya mauaji aliwasiliana na nani kwa Simu yake ya IPhone , IT expert wa S/Africa walishindwa jambo hili kwa maana ya hizi passcord na I cloud,
Mahakama ikahitaji serikali iombe msaada kwa Apple wenyewe US, Apple walikataa kwa maana ya siri ya mteja wao, Kiufupi haikufahamika mpaka kesho,
Kuna mifano mingi huko uchina na German ukihitaji tutaiweka hapa,
So tusije hapa na habari za mtaani,Android takataka inafunguliwa popote na si OSi, Soma kidogo kuhusu I cloud how it operate security yake nk,