iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Huu utapeli sasa

Kaka una ujuzi na software za smart phone? Ni vizuri ukataka kujua kwanza ndio ubishe, tofauti ya ios na android katika security system ni kwamba android ni compatible system kwenye Nguni mzima wa factory reset lakini ios ina mianya ipatayo mi 3 ambayo inachelewa kuwasiliana kutoka katika main software kwenda kwenye program na huo ndio udhaifu unaotumiwa kufanya chochote katika iphone na ios zote, hakuna kinachoshindikana katika swala zima la tecnology lisikutishe hilo jina la IPHONE
 
Kwahy Unatak T Kutwambia T Kwa Ufup We Una Weza Toa Simu Ilyo Fungwa Na I Cloud Na Ikafanya Kaz?,
 
Kwa anaehitaji kutoa iphone lock screen na icloud security tuwasiliane kwa namba hii 0714648822

Kwenda uko labda niwe nimelock icloud mie au nimepoteza passwed utumie details zangu
 
Kwahy Unatak T Kutwambia T Kwa Ufup We Una Weza Toa Simu Ilyo Fungwa Na I Cloud Na Ikafanya Kaz?,

sio swala gumu kama mtazamo wa watu wengi ulivyo,iPhone in simu kama simu nyingine tofauti yake imeboreshwa zaidi katika upande wa apps na security inawezekana kuondoa screen lock na icloud kwa 100%
 
Sawa Unawatej Weng Humu Tupe Mrejesho Umewafanyia Kaz Na Iphon 6 Zao Maan Utakuw Umesha Pata Tenda ,ama **** Kuna Raia Amehudumiwa Na Ndugu Yet Wa Kutoa Passcod Na I Cloud Aj Atup Ushuhuda
 
Polepole mkuu uwe unaproof read
 
Sawa Unawatej Weng Humu Tupe Mrejesho Umewafanyia Kaz Na Iphon 6 Zao Maan Utakuw Umesha Pata Tenda ,ama **** Kuna Raia Amehudumiwa Na Ndugu Yet Wa Kutoa Passcod Na I Cloud Aj Atup Ushuhuda

bado sijamuhudumia mtu yeyote hii post nimeiona juzi lkn kwa atakaeona anahitaji Huduma ya simu yake atanitafuta
 
Jamani kwa anayeweza kunisaidia kufungua apple account anisaidie maujanja ya kufungua bila kulipia maana ninejaribu kigumu gum imekataa nikienda kwenye email kufanya verification inaniambia user name incorect, atakayeweza kunisaidia kufungua bila malipo itakua poa sana

unatumia PC au Mobile??
 
Kaka una ujuzi na software za smart phone? Ni vizuri ukataka kujua kwanza ndio ubishe, tofauti ya ios na android katika security system ni kwamba android ni compatible system kwenye Nguni mzima wa factory reset lakini ios ina mianya ipatayo mi 3 ambayo inachelewa kuwasiliana kutoka katika main software kwenda kwenye program na huo ndio udhaifu unaotumiwa kufanya chochote katika iphone na ios zote, hakuna kinachoshindikana katika swala zima la tecnology lisikutishe hilo jina la IPHONE

Mkuu hii ni dunia ya utandawazi, huwezi kudanganya watu kwa kigezo "hakuna kinashindikana chini ya jua"
Kutoa icloud lock ni swala la kiteknolojia halihitaji miujuza kama swala la imani, ni ama unajua fomula ya kutoa au hujui..... Period

Unataka kutuambia chini ya hili jua ni wewe pekee ndio unaweza kutoa icloud lock kwenye iphone 6!!!!!!?
Prove me wrong kwa kunionyesha mwenzio mmoja tu anayetoa
Mind that hii ni dunia ya utandawazi
 
Mkuu pole kwanza, kosa wanalofanya watumia wa iPhone pindi wanaponunua ni kuweka passcode, hii inafanya kuwa ngumu kuitrack simu yako pindi unaibiwa, mfano mi iPhone yangu sijaweka passcode yoyote na bado ipo secured kwa sababu bado iCloud inafanya kazi kama kawaida, pindi ikiibiwa bado mwizi wangu ataendelea kuitumia kama kaiwada na nina chance kubwa ya kumshika nayo mkononi

Mkuu passcode unayoingelea ile ya kwenye screen ya kuacess files or na ile ya kwenye apps unavyotaka kupurchase or zote sijakuelewa
 
Passcode ni kama vile zile pattern kwenye Android
Yaani simu ina waka lakini huwezi kuaccess hadi utoe lock kwa kuingiza passcode au finger print

Wakati icloud ni mpaka uingize email na password uliotumia kusajili idevice yako
 
Mkuu hii ni dunia ya utandawazi, huwezi kudanganya watu kwa kigezo "hakuna kinashindikana chini ya jua"
Kutoa icloud lock ni swala la kiteknolojia halihitaji miujuza kama swala la imani, ni ama unajua fomula ya kutoa au hujui..... Period

Unataka kutuambia chini ya hili jua ni wewe pekee ndio unaweza kutoa icloud lock kwenye iphone 6!!!!!!?
Prove me wrong kwa kunionyesha mwenzio mmoja tu anayetoa
Mind that hii ni dunia ya utandawazi

Mkuu mi nataka nimtafute tumalize ubishi kwa dau lolote tena nampa hii yangu wala sihangaiki
Ninachojua watu duniani sasa hivi wanajivunia kujailbreak baadhi ya versions za iOS na sio kuhack security ya iCloud, hapo nyuma kulikuwa na scammers kibao waliokuwa wanajidai wanatoa iCloud walivyoshitukiwa wakapungua
Kama jamaa ataweza ninamhakikishia atakuwa milionea ndani ya mda mfupi kwa sababu mimi nitamtafutia wateja 100 ndani ya wiki mbili
 
Back
Top Bottom