iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

ivi iphone 5s ndo betr zake hazifikish hata nusu siku au ninunue tuu betr nyingne
 
Wakuu mimi nina iphone 6 ina tatzo la network searching haishiki netwk je kna mdau anaeza kusolve hiyo issue...
 
Wadau ninataka ninunue iphone 6 au 6s ningependa kufahamu yafuatayo juu ya simu hii..
ukaaji wake wa chaji
camera yake
vitu vinavyozinguaga
Nawasilisha!!!
 
Wadau ninataka ninunue iphone 6 au 6s ningependa kufahamu yafuatayo juu ya simu hii..
ukaaji wake wa chaji
camera yake
vitu vinavyozinguaga
Nawasilisha!!!
6s ina camera nzuri kuliko iphone 6
Charge ziko sawa tu.
Kuzingua ni mwendo wa itunes lazima uwe na computer kuweka nyimbo, videos, ila computer ambayo haina itunes utaweza kucopy pictures pekee sababu inafungua upande wa picha.

Kizuri 6s ina 3d touch na pia unaweza kupiga motion pictures, kiujumla kuanzia 6s ndipo iphone ameanza kua vizuri huwa sioni tofauti kubwa sana ya iphone 6s na za juu yake yaan 7 etc sababu zinatechlogy ilioanzia kwenye 6s. Pia iphone 6s ina ram2gb wakati 6 ina ram 1gb

Apple iPhone 6s vs. Apple iPhone 6 - GSMArena.com
 
Wadau naomba msaada jins ya ku bypass passcode kwenye iphone 6s haijawa locked na icloud.natanguliza shukran
 
Hiyo sijawah tumia ya kua na itunes kwenye simu, so ukiweka itunes kwenye simu unaweza kudownload miziki na video na kuzifuta unapohitaji???

iTunes ni special kwa ajili ya ku-synchronize na ku-create backup ya iPhone yako kwenye PC.

Kwa kufanya synchronization unaweza kuingiza music au video kwenye iPhone kutoka kwenye PC na pia unaweza ku-delete music na video kwenye iPhone
 
Yes nafahamu ikiwa kwenye pc ndio natumia hivyo,ila mdau kasema unaweza iweka kwenye simu na ukawa una download miziki ndio nimemuuliza inafanya kazi hivyo kweli???
 
Yes nafahamu ikiwa kwenye pc ndio natumia hivyo,ila mdau kasema unaweza iweka kwenye simu na ukawa una download miziki ndio nimemuuliza inafanya kazi hivyo kweli???

Yep iTunes ni site ambayo wasanii kibao huuzia singles & albums zao so ukiwa nayo kwenye simu inakupa nafasi ya kununua music ingawa mimi sijawahi kuitumia
 
Habari wadau, simu yangu ya Iphone 5s inatatizo lifuatalo:-
Inajizima kila wakati na sehemu ya Betri inaonesha Empty na kurudi tena Full.
Hali hii inajitokeza mara kwa mara nimejaribu kuireset lakini tatizo bado linaendelea.
Naombeni Msaada tafadhali.

Asanteni.
 
Betri itakuq imeshapoteza uwezo,kifup imekufa,nenda mtaa wa agrey k,koo wakubadilishie betri(kama uko dar) i had the same prob nimesolve juz
 
Back
Top Bottom