Jamani mm naombeni anaejua namna rahisi ya kuweka wimbo ninaoutaka uwe kama ringtone kwenye iphone,nimejaribu kugoogle kwenye net wameelekeza ila mm nimejaribu nimeshindwa maana ni njia ngumu sana
Mkuu wako wanaoweza kufungua ila ni wachache na ni hela ndefu.Una I phone? Ambayo ni icloud locked?
prime ministerHivi pm manake nin wapendwa?
Leta hiyo kaziApple ni Nyoko ile iCloud nimewanyooshea mikono haya wale wa kutaka kufungua apple ID bila credit card aya toa maelezo yako nakufungulia .
TEAM APPLE SINCE IPHONE.
Kuhusu icloud lock hakuna anayeweza kutoa mimi hapa niliibiwa simu yangu ngara kwa msaada wa icloud niliipatia nzega maeneo ya kitangili bila shida kabisa,na mimi siku watu watakapogundua namna ya kuitoa hiyo lock nitabadiri simu ninunue simu aina nyingine.
Msaada naomba munisaidi app ya iphone ya kudownload nyimbo free
Kuna uwezekano uliiangusha hiyo simu na camera ya nyuma ikacheza ndiyo maana inafanya hivyo. Nmewahi kuoata hiyo experience kama mara mbili hivi
Wakuu msaada nikitaka kupiga pic na camera ya nyuma inaonesha giza tuh nkiweka ya mbele inakubali nkirudisha ya nyuma inaniambia the iphone needs to cool down before you can use the flash
Nimenunua iPhone ya dili hapa 6+ elfu 40 kutoka kwa teja, but nimechomoa kimin cheap (laini) iliyokuwa inatumika ni Tigo, hii simu inauwezekano kufunguka? Maana ina password kwa kioo.. Wataalam nijuzeni