iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Nimenunua iPhone ya dili hapa 6+ elfu 40 kutoka kwa teja, but nimechomoa kimin cheap (laini) iliyokuwa inatumika ni Tigo, hii simu inauwezekano kufunguka? Maana ina password kwa kioo.. Wataalam nijuzeni
ni cheki kwa namba 0765-096851 unieleze vzur naweza kuku saidia
 
Hello Wangwana naombeni msaada simu yangu ya iPhone 6 inanisumbua mno
 
Nashindwa ku update apps zangu so hazifunguki inaniambia niingize password ya icloud. Now kila nikiingiza inagoma
 
Sasa najaribu kufikiri labda binti yangu aliibadilisha ID maana kuna wakati nilimpa aitume. Lakini pamoja na hilo bado ID inayodisplay naona ni ya kwangu sasa hata nikiifungua through other devices na kuingia kwenye www.iforgot... inaniambia hii ID haipo .'doesn't exist in apple store'

Naombeni ushauri nifanyaje niweze kuiretrieve hii simu wapendwa
 
Je unakumbuka password? Kama unakumbuka,hiyo password yako anza kwa herufi kubwa.
 
Je ajabadili password?
Nadhani aliibadilisha hiyo ID and everything lakini kwenye icloud inadisplay ID yangu still ila nikiingiza password inagoma. Ndipo nilipojaribu kwenda kwenye iforgot.com but ikaniambia hii ID haiexist
 
Ulishawahi muuliza huyo binti yako akupe password mpya.
 
Hello Wangwana naombeni msaada simu yangu ya iPhone 6 inanisumbua mno
asee apo kama una kumbuka kila details zote ulizo fungulia io icloud WasiliNa na apple wenyew kamankweli niyako uhakika mana wata kuburuza na maswali adi uchukie uki win wana ku unlockia pia kama una risiti kolakitu unaweza kusaidiwa but ikikushinda Niuzie MM ni PigieProject zangU mana nakaznying sana amabazo zinasubir ni nunue Locked devices Toka ebaY
 
Nipo na shida ya iphone 5 icloud nyeupe mwenye nayo anipm tuzungumze biashara
 
Nimenunua iPhone ya dili hapa 6+ elfu 40 kutoka kwa teja, but nimechomoa kimin cheap (laini) iliyokuwa inatumika ni Tigo, hii simu inauwezekano kufunguka? Maana ina password kwa kioo.. Wataalam nijuzeni
Rudisha hio chip na mrudishie mwenyewe simu.. I phone yenye lock huwezi kuifungua na hakuna fundi anayeweza kuifungua. FBI wenyewe walijenya
 
  • Thanks
Reactions: Eba
Ushawahi kutumia iPhone mkuu?
Siku ukinunua utajua maana hutoweza kununua Apps yoyote adi Apple ID au iCloud.
unless utumie na itune store.... otherwisw i realy love iPhone and cjui kama ntaama kwenye hii brand.
Natumia i phone since 2008.. 3G .. Now natumia 5s .. Sitaki kuhama .. 6 naziona kama kubwa.. Labda nitatumia SE
 
Attachments

  • image.png
    image.png
    47.9 KB · Views: 77
Back
Top Bottom