iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Kwa anayejua sehemu naweza kupata "uasimcard" inasahidia iphone zilizokuwa locked kwa network na kuactivate iphone bila kudai Apple ID na password
 
Hivi betri za iphone zinapatikana tanzania. Wapi naeza kuzipata
 
Nahitaji display ya Iphone 5, Ntapata wapi na kwa Tsh ngapi??
 
Nauza iPhone 5s gb 16, rangi Ni white ipo vizur, kwa anaye hitaji nicheck pm
 
Ivi nahitaj kujua mfumo wa iphone upo sawa kwa namna flan na Adroid na katika vifurushi vya net ipo sawa na simu nyingine,,,,naomba nipewe upekee wake
 
hivi nikinunua iPhone used kwa mtu. inawezekana kufuta kabisa/to remove account original ya iTunes na kuweka mpya ya kwangu?
 
Kwa hiyo iPhone 3G haiwezi kupata hiyo update. Hata iphone 4 nazo hazijapata. Zimeishia 7.1.2 kama sikosei. Ngoja waje wengine wanaojua zaidi
Iphone 4s na kuendelea ina updates but tolea la chini ya 4s ndo inagoma, mie hapa imeshaomba IOS 9.3.1 natumia iPhone 4s
 
Jamani mm naombeni anaejua namna rahisi ya kuweka wimbo ninaoutaka uwe kama ringtone kwenye iphone,nimejaribu kugoogle kwenye net wameelekeza ila mm nimejaribu nimeshindwa maana ni njia ngumu sana
 
App gani naweza kuitumia kudownload video za youtube kwenye simu
 
Nina iphone 4 inaiwasha lockscreen kila baada ya 15 sec baada ya kuilock vp munanisaidiaje
 
Nicheck 0659707051 nikuelekeze ila uwe na access ya pc na uwe itune
 
Back
Top Bottom