iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

I cloud ni nini? mm ni window phone user , nielezeen kdogo mana nimesoma sielewi

Icloud ni account unayoitumia kuLock simu yako ya iphone, ambapo unalogin kwa email yako. Verification yake kutoka kwenye server za apple ndio zinafungua simu. Hiyo hata factory reset haifanyi kazi
 
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za apple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
Iphone yangu ili dumkia kwenye maji kwa muda kama dakika 1 hvi sasa kwa bahati inapiga kazi vzuri ila inachemka na haitunzi moto kabisaa hili tatizo ntalitatua vpi?
 
mkuu kama unaweza nipe bei zake na maeneo zinapatikana
 
Hao wanachokifanya ni kueploit loop hole zilizopo kwenye email yako
Yani wanatry kureset passwd yako ya email wakiweza then wana try kusign in kwa iCloud na kurequest kureset iCloud password through email yako
 
Icloud hufungui hata Team cook CEO wa apple.!!!!! Hafungui acha saund dunian hapa hakuna wanafungua icloud

Acha ubishi zinafunguliwa vizuri wiki iliyopita nimefungua njoo pm .usinipe hela mpaka niitoe.
 
China wameanza huduma ya kuzi unlock iPhone Kwa bei ya 50 dollars
 
Natafuta iphone 5 icloud rangi yoyote iwesafi yenye mwenye nayo anipm
 
Msaada wadau wa namna ya kuliondoa hili tatizo la kupigiwa bila kuja namba badala yake inakuja 'no caller id' na ukipokea tu simu inakata.
 
Kwa matengenezo ya uhakika na salama 100% ya smart phone yako wasiliana nasi kwa namba 0714648822/0768393948 tuna deal zaidi na software za simu aina zote karibuni
 
Kuna iPhone nimeletewa inataka Apple ID Kama kuna mtaalamu wa kuweza kuunlock pls!
 
Kuna iPhone nimeletewa inataka Apple ID Kama kuna mtaalamu wa kuweza kuunlock pls!
icloud.png

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo
 
Kwa matengenezo ya uhakika na salama 100% ya smart phone yako wasiliana nasi kwa namba 0714648822/0768393948 tuna deal zaidi na software za simu aina zote karibuni
Boom j7 unaweza ifanya isome kwenye dvd deki????
 
Back
Top Bottom