iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iphone unaweza kubadilisha kioo kwa kibongo matatizo ya ndani micro electronic repair watakudanganya maana hakuna wanacho fanya kwa teknolojia ya digital
 
Inachosha tu kuhamisha picha au nyimbo,sielewagi iTunes, I had to find an alternative software
 
Anae hitaji full display ya iPhone 5s original yani unaitoa kwenye simu nicheki inbox.
 
asee apo kama una kumbuka kila details zote ulizo fungulia io icloud WasiliNa na apple wenyew kamankweli niyako uhakika mana wata kuburuza na maswali adi uchukie uki win wana ku unlockia pia kama una risiti kolakitu unaweza kusaidiwa but ikikushinda Niuzie MM ni PigieProject zangU mana nakaznying sana amabazo zinasubir ni nunue Locked devices Toka ebaY
Mkuu mimi ninayo 5s ina icloud,tuongee biashara.
 
kuna iphone 4S imetumika miezi 2 bei 330k fixed kama waitaj n pm

haina tatzo lolote
 
Wakuu hbr,ebwana nilipoteza iPhone yangu ina lock bt mazingira iliyopotea ni nyumbani so nahisi madogo walinipiga,then nina waswas maana my password was soo simple tukikaa masaa mawili utaijua tu,je naweza kuitrack vp? Apple ID ndo sio rahisi kuijua password yake mtu mwingine
 
Wakuu iOS 10 imetoka,kwa atakae upgrade naomba atupe mrejesho jinsi ilivyo. Nimefatilia kwenye forums mbali mbali watu wameiponda.
 
Ingia google kila kitu kipo,utajua jinsi ya kutrack.
 
Wakuu iOS 10 imetoka,kwa atakae upgrade naomba atupe mrejesho jinsi ilivyo. Nimefatilia kwenye forums mbali mbali watu wameiponda.

Usisikilize watu kuiponda. Ni nzuri kuliko iOS 9.3.5. Nimeupdate and its so good.
 
Back
Top Bottom