olaice kitunga
Member
- Jan 30, 2013
- 90
- 23
Kwa wataalam wa kudownload YouTube video ni app gani ambayo inafanyakazi vizuri ukiacha Document ambayo process zake ni ndefu. Please Msaada hapo
Wakuu jinsi ya kutuma nyimbo (mp3/audio) kwa kutumia whatsApp anayejua anijuze
Iphone 5 ni 150k kuanzia 6 200kBei gani kutoa icloud lock?
Nunua gevey chip: sim tray . Kama uko dar nenda kkoo au posta. Nina cm ili lockiwa na vodphone UK siku taka ku unlock instead natumia na gevey chipwapi naweza unlock iphone 4 iliyofungwa kwa network za canada wazee
iv ni iphone zote hazisomi H and H+?
Looking for an original, and affordable, iPhone 6 display! You may be PM me if you have it
Iphone 5 ni 150k kuanzia 6 200k
Original display ya iPhone 6?! Looking for one
Mi natafuta hizo iphone zenye icloud namba yangu ni 0714648822
Anaesema haiwezekani hajajaribu ama kukutana na wataalam wenye uwezo huo usibishe peleka simu iliyofungwa na watu watafungua vile vile. Sasa hv icloud sio ishu tenaIphone 5 ni 150k kuanzia 6 200k
We unauza kwa ngapi kwani??Ipo una ofa gani?