Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Kwangu kuna tatizo lilijitokeza kwenye imoges za watsapp kama smile, love .etc kuto onekana yan nilikuwa siwez kuweka ka imag kutoka watsapp je amby alisha pata tatizo la namna hi!
solution ake nili download watsapp imoges i store ikakubal
Mkuu unatumia version gani ya iOS?