Soso J
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 1,976
- 1,224
Wewe screen shot mbona inawezekana bila apps ingine yoyoteNaombeni msaada wa app ya ku screen capture (screen shot) ktk iphone
Wewe screen shot mbona inawezekana bila apps ingine yoyoteNaombeni msaada wa app ya ku screen capture (screen shot) ktk iphone
TunazungumZia Iphone humu wafuate watumiaje wenzako wa Tecno mkuuMsada, tecno P6, nime root kwa kingroot. Nimeweka pollipop launcher lkn ina ganda ganda sanaa. Unaweza gusa contact, ikachelewaaa ...
ni pm nikupe maujanjaNataka ninunue iphone 6 ya wizi na ntaweka id yangu make iko unlocked, je ntakatwa CHIEF MKWAWA
mwaga mchele hapahapa, kwa tayari nishanunuani pm nikupe maujanja
Bado mzee pangu naona wamebunda na mwaka wao mpya! Ila mimi bado napeta na JB yangu ya 7.1.2 kwenye ka4 kangu.Hivi jailbrake ya ios 9.2.1 bado tu?
Namiss tweaks kibao za cydia
Bado mzee pangu naona wamebunda na mwaka wao mpya! Ila mimi bado napeta na JB yangu ya ios 7.1.2 kwenye ka4 kangu.
Unaweza....endapo kama nyimbo hizo zipo kwenye "apps" kama Whatsapp,viber, VLC na kadhalika...kwa mfano kwenye Whatsapp utaratibu ni ule ule wa kubonyeza kwa muda na kusubiri "options" zitokee...Hivi ktk iPhone naweza kushare nyimbo ambazo zipo ktk simu kupitia whatsapp??
Jaribu ku-update iTunes ya kompyuta yako kila mara.Kuhusu charge, kumbuka kuzifunga apps kila unapozifungua, kuna baadhi ya apps huwa zina-run on background.Pia check vitu kama wireless (kama una tabia ya kuiacha simu itoe wireless kwa muda mrefu)Itunes acc yang inazngua i dont see na wala cwez kuweka muziki zaid ya kuona itunes u tu af chaj pia haikai sana natumia 4s! Ushauri tafadhali
Inawezekana...ila iPhone original kwenye Istore zote duniani bei ni tofauti ndogo sana, kwa hiyo haiwezi kuachana mno (hasa kwa staili yao ya mauzo kwa dola ya kimarekani)Hivi Iphone kuna fake manake bei zake hapa Bongo ni rahisi sana? Kwa mfano bei ya Iphone 6 kwenye apple store ni ghali ukilinganisha na hapa Bongo.
Unatumia iphone ganj na ios gani mkuuSwali langu ni juu ya rangi ktk sign ya battery wakati unaichaji!? sometime huwa yellow badala ya green! What does it mean?
Mkuu kabla ya yote toa historia ya hiyo simuView attachment 322535
View attachment 322537
ikiwa kwenye lock inakuwa kama hapo juu huku ikibadili lugha
View attachment 322539
kama akuna line inakuwa hivo
View attachment 322540
nikiweka line inasearch afu inakuwa hivyo wakati iko unlocked
View attachment 322541
nikichagua lugha inakuwa hivyo juu
View attachment 322542
nikichagua country inakuwa hivyo juu
View attachment 322543
nikichagua connect to itune inaleta kama juu na hapo ndo mwisho haifanyi chochote zaidi.
msaada wenu wajameni
Natumia iPhone 6 Plus, IOS 9.2.1Unatumia iphone ganj na ios gani mkuu
Ukiwa kwenye low power mode kwenye Settings>battery ndio inaleta rangi hiyo mkuuNatumia iPhone 6 Plus, IOS 9.2.1
Ukiichomeka kwenye itunes inaitambua?iPhone 5S miezi miwili sasa siitumii baada ya kuwa imeharibika. Iliaanza kuwa ina "reboot" na kuonyesha "blue screen". Mafundi wawili wamekwama pamoja na kuweka battery mpya. Mwenye kuweza kuitengeneza tafadhali.
Kwa sasa haiwaki hivyo iTunes haina msaadaUkiichomeka kwenye itunes inaitambua?
Kama ndio hunabudi ku restore
Njia rahisi downloawd ios 9.2.1 ipws then fanya restore
Naomba msaada, nina iphone 4 nilikuwa natumia Gevey -ios 4.2.1 nikaupgrade ios 5.0.1 sasa inahitaji niweke ios 7.2.1, imekubali kuingia tatizo inahitaji kuactivate na mm sina original sim carrier yake ni vodafone uk, so unanisaidiaje ili niweze kuiactivate?kuna njia moja rahisi sana ambayo itakusaidia kuzitunza hizo hardware za simu yako katika matumizi ya screen shot, kuturn off screen, apple wameweka hii kitu.
SETTING>GENERAL >ACCESSIBILITY> ASSISTIVETOUCH> WEKA ON kitakachotokea hapo utaenjoy sana kutumia apple. R.I.P Steve Jobs