Waungwana wapi hapa mjini naweza kupata huduma ya kuu unlock iphone 6 bila kutuma pesa kwa fundi wa nje
Mkuu hiyo shareapp lite ndiyo inayotumika kushare miziki kwenye whatsapp hata kama hujajail break ndio maana nikasem pia kama umejail break basi install whatsapp+Alichouliza yeye ni kushare kupitia whatsapp, mkuu kujail break iPhone lazima upige ishara ya msalaba, sio kama android devies ambazo ni rahisi sana kuroot, wengi wanaojail break iPhone ni geeks lakini sio watumiaji wa kawaida kama kwenye android kila mtu siku hizi anaweza kuiroot simu yake
Whatsapp+ iko poa ila kinachoniudhi sasa ni yale matangazo yao mpaka nimeiRemove kabisa.Hiyo sga
Mkuu hiyo shareapp lite ndiyo inayotumika kushare miziki kwenye whatsapp hata kama hujajail break ndio maana nikasem pia kama umejail break basi install whatsapp+
Binafsi nilijail break simu yangu kirahisi tu kwa kufuata maelekezo (iOs 7.1.2 kwenye iphone 4 ) ya Panguteam ambayo mtu yeyote tu anaweza kuyafuata na akafanikiwa ili mradi aelewe anachokisoma
Yanaudhi, mpaka utweet text yao kwenye twitter ndio matangazo yanaondoka ila iko poa sanaWhatsapp+ iko poa ila kinachoniudhi sasa ni yale matangazo yao mpaka nimeiRemove kabisa.
Nilidownload turbo downloder sasa kuna baadhi ya videos nilitaka kuzitoa kwa cm yangu ili niweke kwa PC sasa kila nikikonect USB kwa iPhone ina niletee folder la IPhone nikifungua amnamo kitu ebu nisaidieni namna ya kufanya ili niweze kutoa vitu kwa iPhone kuja kwa PC
Asanteni
Samahan mkuu. Hiyo turbo downloder ni kwa ajili ya kupakua videos kutoka YouTube? Unaipata ktk websites au App Store?
Samahan mkuu. Hiyo turbo downloder ni kwa ajili ya kupakua videos kutoka YouTube? Unaipata ktk websites au App Store?
iphone 3G unapataje ios 9.0???? napata shidah kwa hapa
iphone 3G unapataje ios 9.0???? napata shidah kwa hapa
Upo sawa mkuuKwa hiyo iPhone 3G haiwezi kupata hiyo update. Hata iphone 4 nazo hazijapata. Zimeishia 7.1.2 kama sikosei. Ngoja waje wengine wanaojua zaidi
Hapana mwisho 4sApple wametoa support na updates mwisho iphone 5.