iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Msaada wakuu nina iphone 4s ni juzi npo kwny shghl zng mara vinyunyu vya mvua ktk hrkat za kujisitiri baadh ytyr yameifikia xm cjakaa hta dkk2 kioo naona rangi yazambarau kumpelekea fundi anaseama kioo kimepga shot ila ndni haijaigia maji so Inabid kibadilishe so jwa aliyrnielewa naitaj ushaur juu ya hili!!!!!!!
 
nina 4s ilizima baada ya jailbreak kama vp nichek
 
Hata nyimbo unaweza share kwa kutumia third party app eg shareapp lite ambapo utaweza kutuma muziki uliopo kwenye music storage... Au kama umejail break ukiinstall whatsapp+ Inakubali na unatuma miziki iliyopo kwenye music storage
Alichouliza yeye ni kushare kupitia whatsapp, mkuu kujail break iPhone lazima upige ishara ya msalaba, sio kama android devies ambazo ni rahisi sana kuroot, wengi wanaojail break iPhone ni geeks lakini sio watumiaji wa kawaida kama kwenye android kila mtu siku hizi anaweza kuiroot simu yake
 
Nauza iPhone yangu 5s kwa Tshs 750,000/ tu Ni PM kwa maongezi zaidi
 
apple apple apple sijaona uzuri wake hadi leo, Samsung edge 6+ utasahau utumbo wa apple
Kuuona uzuri si mpaka uujue. Kujua vizuri ni kipaji ujue. We kaa na tu na misamsung yako waache wazee wa tunda wafurahie technology. Halafu huku tunajadili kuhusu tunda unakuja na habari zako za macho madogo. Samsung, tecno, huawei, ftg ndo class moja achana na hawa jamaa wa tunda(apple) wanatisha.
 
Akaanzishe thread yake ya edge samsung
 
image.png
image.png
ko kwenye hii thread kila mtu anatimia iphone??
Jijibu mwenyewe kwa hii snapshot
 
Mkuu, hivi umewahi hata kutumia Apple devices au unaongea tu, na kama umewahi kutumia unajua ni nini kilikupelekea ukanunua?

Kwa anayejua namna ya kuweka setting za internet ktk iPhone naomba anielekeze tafadhali.
 
Naomba kuelekezwa namna ya kuweka setting za internet ktk iPhone
 
Back
Top Bottom