iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Naombeni msaada wa app ya ku screen capture (screen shot) ktk iphone
 
habari nina iPhone4 natafuta fundi simu ina tatizo la dislay haionyeshi chochote. Msaada please.
 
Naombeni msaada wa app ya ku screen capture (screen shot) ktk iphone
Hakuna haja ya kuweka app, bonyeza button ya power na home button kwa wakati mmoja halafu achia utakuwa umemaliza kila kitu na screen shot yako utaipata kwenye photos
 
Hakuna haja ya kuweka app, bonyeza button ya power na home button kwa wakati mmoja halafu achia utakuwa umemaliza kila kitu na screen shot yako utaipata kwenye photos

Hivi ktk iPhone naweza kushare nyimbo ambazo zipo ktk simu kupitia whatsapp??
 
Hivi ktk iPhone naweza kushare nyimbo ambazo zipo ktk simu kupitia whatsapp??
Hapana huwezi share nyimbo, kwa sababu Apple wanataka ununue nyimbo na si kushare ila unaweza kushare videos na picha
 
Hivi Iphone kuna fake manake bei zake hapa Bongo ni rahisi sana? Kwa mfano bei ya Iphone 6 kwenye apple store ni ghali ukilinganisha na hapa Bongo.
 
habari nina iPhone4 natafuta fundi simu ina tatizo la dislay haionyeshi chochote. Msaada please.
+Tatizo limeanzaje ,inaweza kuwa kwenye blank mode kama hakijavunjika,Bonyeza kwa muda mrefu HOME + POWER kama 2-5 min!
 
Naombeni msaada wa app ya ku screen capture (screen shot) ktk iphone
kuna njia moja rahisi sana ambayo itakusaidia kuzitunza hizo hardware za simu yako katika matumizi ya screen shot, kuturn off screen, apple wameweka hii kitu.
SETTING>GENERAL >ACCESSIBILITY> ASSISTIVETOUCH> WEKA ON kitakachotokea hapo utaenjoy sana kutumia apple. R.I.P Steve Jobs
 
Hivi Iphone kuna fake manake bei zake hapa Bongo ni rahisi sana? Kwa mfano bei ya Iphone 6 kwenye apple store ni ghali ukilinganisha na hapa Bongo.
Kwa sababu hatuna tozo ya kodi kwenye hizi kitu, mf China hununui iphone bei yake iko juu sana thats y soko la iphone hapa bongo wateja wakubwa ni wachina. lakini pia wabongo wachache tunaonunua brand new wengi wetu tunanunua brand used.
 
Hapana huwezi share nyimbo, kwa sababu Apple wanataka ununue nyimbo na si kushare ila unaweza kushare videos na picha
Hata nyimbo unaweza share kwa kutumia third party app eg shareapp lite ambapo utaweza kutuma muziki uliopo kwenye music storage... Au kama umejail break ukiinstall whatsapp+ Inakubali na unatuma miziki iliyopo kwenye music storage
 
Hapana huwezi share nyimbo, kwa sababu Apple wanataka ununue nyimbo na si kushare ila unaweza kushare videos na picha
Mimi huwa natumia dropbox niliyoinstall kwenye pc yangu ofcn zen naweka nyimbo hapo nazotaka, kwenye simu pia nimeinstall dropbox hivyo inakuwa rahisi kwangu kushare music kwa raia wangu.
 
Kumekuwa na post nyingi kuhusiana na iphone, uzi huu ni maalumu kwa ajili ya mambo yote yahusuyo iphone na brand zote za aple. Tupia maswali ama maujanja kuhusu @ios na mambo mengine.

HADI MUDA HUU HUTUJAPATA UFUMBUZI WA HAKIKA WA KUTOA I CLOUD EPUKA MATAPELI, wataalamu karibuni.
Mnazionaje features za ios 9.3, 3D. kwa wenye 6 plus , 6s wataenjoy sana all in all niwape hongera Pangu team kwa jaibreak, tulishaenjoy hizi faetures kwenye 9.2
 
image.jpeg

nahitaji iphone 4 au 4s je ni bei gani used au mpya?
Mkuu i phone 4s 32GB white .nimeitumia mimi wiki mbilii, imetoka australia muda si mrefu chaji yake na headphone zijazifungua.
Nipe 4k
 
Back
Top Bottom