Mkuu iphone ikipata tatizo usikubali mafundi wetu wa kibongo waifungue maana maranyingi sana matatizo huwa ni ya software na sio hardware unless kama unabadili kioo au batteryKwa sasa haiwaki hivyo iTunes haina msaada
Nenda Settings> General> software update uone kama ipad yako inahitaji update, hakikisha upo na netMimi Nina iPad mini ila nikitaka upgrade iOS haikubali lakin kabla ili kua inakubali nifanyaje
Mkuu si kuna option ya kuactivate kwa wifi?Naomba msaada, nina iphone 4 nilikuwa natumia Gevey -ios 4.2.1 nikaupgrade ios 5.0.1 sasa inahitaji niweke ios 7.2.1, imekubali kuingia tatizo inahitaji kuactivate na mm sina original sim carrier yake ni vodafone uk, so unanisaidiaje ili niweze kuiactivate?
ya nikweli ipo carrier locked.Mkuu si kuna option ya kuactivate kwa wifi?
Create wifi hotSpot kwa pc yako then activate
Labda kama ipo carrier locked
iPhone5 in A1 condition, nyeupe 32gb nataka 500 ukiwa poa nchekView attachment 313293
Kama inafikia hapo basi itunes inaouwezekano mkubwa wa kuitambua na kama tatizo ni software basi unaweza kurestore au ku updatePaul S.S. ilifikiwa wakati "reboot" ikagoma hivyo kwenye PC haionekani
Inamaana network imepotea ghafla tu mkuu au ulifanya update?Wakuu nisaidieni mwenzio, nina sim IPHONE 4, imekataa gafla kupandisha network. nifanyeje wadau?
Mkuu hiyo ulionayo ni iphone au mchina?Nina iphone 5s nikitaka kupiga picha inaandika there is not enough available storage to take photo na nimefuta kila ktu lakini bado inaleta iyo message nikitKa kipiga pcha pia nimejaribu ku reset
ErAse all content and setting bado inagoma nikiandika passcode inasema incorect
Sio ya kichina ndugu ni og kabisa sijawai kuchomeka kwenye itunesMkuu hiyo ulionayo ni iphone au mchina?
Ukichomeka kwenye pc yako itunes inaitambua?
Kama ndio, inaonyesha simu yako inanafasi kiasi gani?
Mwaloninitapata sehemu gani wanapouza iphone mwanza
Nenda Settings> General>Storage>Manage storageMwaloni
Dogo.. Unajitahidi sana kwa umri wako ni sawa kwa mawazo yako.
Nimekuwa mpenzi wa "electronics original" kwa muda mrefu km radio na tv - "SONNY: Computers - hp & DELL": Phone - iPhone" nk. Nimekuwa na iPhone 4S, 5S na iPad (Apple products).