Ipe maneno picha ya JK akiwa Benki Kuu Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipe maneno picha ya JK akiwa Benki Kuu Dar

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Sep 24, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 2. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yes ...kwa wale tuliodhani JK ni mtu wa mzaa leo kaamua kuwa mkali na hawa jamaa inavyoonyesha!
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,189
  Likes Received: 12,906
  Trophy Points: 280
  kawakasirikia
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...utani tu..mbona waziri mkubwa kama anacheka vile!!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hakuna neno la kuipa,,, ila Implication ni kuwa Mizengo Pinda hata akiambiwa afute viatu vya JK atakubali maana ametokelezea ki kujikomba kujikomba hivi...
   
 6. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ukiangalia kwa makini utabaini mambo mawili; Aidha kitu anachoongea hakieleweki (angalia muonekano wa sura kwa Mhe Samweli Sita na Dk. Mgimwa) ama anachoongea ni suala la mzaha ama utani kama ilivyo kawaida yake (angalia muonekano wa sura kwa Mhe. Pinda japo imejificha na Prof. Maghembe).

  Haiwezekani kabisa Kikwete kuwa serious kwa sasa ikiwa imebaki takriban miaka mitatu tu amalize ngwe yake ilhal ameshindwa kufanya hivyo kwa kipindi cha miaka saba alichokaa madarakani. Kwake sasa anaona liwalo na liwe lakini ameshaitwa Mhe. Rais kama alivyokuwa amedhamiria.
   
 7. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  kimenuka mkuu mbona kama anawaka hivi,tumezoea ata kwenye misiba na mabomu anacheka
   
 8. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  JK: Hivi we Mgimwa wewe, toka nikuteue waziri wa fedha umefanya kitu gani hasa? Shillingi yetu inashuka thamani kila siku (dhidi ya dola) we upo tu na mikoti koti yako hiyo na wala hushituki. Sasa bwana ni hivi nakupa mwezi mmoja kama shilingi yetu bado nitaendelea kudorora nakumwaga.

  MGIMWA: Aaah mzee, nionee huruma, siunajua yule mnyasa yule wa Kilosa alivyoifisadi hii wizara. Bado natafuta pa kuanzia. Mambo yatakuwa mazuri tu, mzee!.
   
 9. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anawakilisha vyema!
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mh. Sita ni kama anasema: Hili jamaa vipi hili?
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Walikuwa katika kikao cha mawaziri na makatibu wakuu ila wametumia ukumbi wa BoT....NA SI ZIARA
   
 12. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  KIRANJA MKUU: Nahitaji kiasi kidogo tu.......... kwaajili ya kukamilisha uchaguzi wa kijani
  MGIMWA: OK!!!!!! Tuingize kwenye ile akaunti ile ya Uswisi au????
   
 13. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamaa hacheki bali sura yake ndivyo ilivyo huwezi kui'define. akicheka kama analia, akilia kama anacheka, akishangaa ndio anakuwa kama anazomea.
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,299
  Likes Received: 19,455
  Trophy Points: 280
  nawaambia hawa jamaa sijui kwa nini tulijisahau hadi wakaanzisha umeme wa mgao wa kujitakia
   
 15. P

  Penguine JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  magembe atafutiwe notebook.hiyo aliyoshika sidhani kama inatosha ama inafaa kubeba nondo za Baraza la Mawaziri na Maagizo mengine ya Rais
   
 16. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,451
  Likes Received: 4,734
  Trophy Points: 280
  hivi unakumbuka wewe Mgimwa nimekutoa wapi? ........
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ndetichia like this
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Inflation inaleta maneno maneno we unauza sura kama hii ni wizara ya maji au afrika mashariki?
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 20. Jagarld

  Jagarld JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 1,532
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  Mbona bwna 6 kama anamshangaa hivi au ni pozi la kiafrika mashariki!
   
Loading...