You must be joking, na kama uko serious basi utakuwa na zaidi ya tatizo.Waalikwa wanaalikwa na nani? Mimi naomba mwaliko mapema.
Huyu hana ban kweli manake siku nyingi sijamuona hapa. Mkuu Ritz nadhani atakuwa meza kuu na wenzake akina Rejao Mchuzi wa bata nk
Huyo @Ribosome ni mtu wa ajabu sana. Kwenye thread za kawaida huwezi muona ila subiri uone TUNTEMEKE alete thread! Yeye ndiye anadominate thread nzima. Kwa kifupi siku hizi ni Pro-CCM / Ant-CDM!
Kamanda Matola nakuona upo online! Tunaomba neno moja tu kutoka kwako kuhusu huu mdahalo! Tunaamini kambi ya Pro-Matola itaangusha kambi ya Pro-Zomba
nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:
1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba EAT kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);
2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;
3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;
4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;
5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;
6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);
7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;
8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;
9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;
10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.
Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.
Asanteni wote na karibuni.
Update:
Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)
Ahsanteni kwa hilo. InshaAllah tutakuwa wote siku na saa hiyo.
Nawatakia wana JF wote Ramadhan Njema, yenye salama, amani na utulivu. Nawapa pole sana walioondokewa na ndugu, jamaa na marafiki zao kwenye ajali ya meli. Nawapa pole na Watanzania wote kwa msiba huu. Tuko pamoja.
Nachukuwa fursa hii pia kuwaomba msamaha wote tunaokoseana humu jamvini, amma kwa kujibizana kihasira na kejeli na istihizai za hapa na pale. Yote hii ni katika kufunguwana na kupanuana mawazo....
Hujambo mtoto mzuri?
Hiyo sura yako? Umezaliwa hivyo? Hivi kweli utamuoa dada wa nani na sura hiyo.?????
Mkuu umenikumbusha unajuwa nimesahau sijatuma mzigo bado, nakukumbusha na wewe tutume mzigo JF.Mkuu kwanza si unaona ni "golden member",nenda katizame hiyo status huwa inakuwa achieved kivipi,behind huo msura wa avatar there's something "dada" anaweza ingia mkenge lol!Kuna moja aliingia nayo mwanzo ya uchi lol!JF raha tupu sometimes...As unakutana na watu wa tofauati ambao katika maisha ya bila mtandao tusingekaa tuweze kukutana na kuwasikia,pia kuwasoma...
Tru mkuu,ndo nimemaliza shule,so niko kwenye process ya kupata shughuli niliyoisomea mkuu wangu,so hopefully very soon.Uwezo wa kifedha si uwezo wa kihoja and vice versa,however JF is in my heart and it always be...I promise I will do the same bruh.Pia inabidi uwe role model wetu kwa kuanza kama hauko kwenye situation kama yangu,nadhani hata kama sitakuwa na uwezo wa diamond,gold or platinum,nitajitahidi kuchangia chochote na nitaprefer kubakia na status yangu ya Senior expert member.Mkuu umenikumbusha unajuwa nimesahau sijatuma mzigo bado, nakukumbusha na wewe tutume mzigo JF.
Did you mean Hypocrites Hypothesis? ha ha haaa!...ever heard of one who approaches greatness on his belly?...it is so that he doent have to be commanded to turn to be kicked!
duh!mdahalo ushaanza?kaazi kweli kweli,Mag3 najuwa mtaenda pound for pound,jaribu kutumia fursa hii kujinoa mkuu.Jamaa naye yuko fit sana tu kwa mjadla,kuna watu ningependelea pia kama ungejaribu kujifua nao kwa mijadala ya constructive,watu kama Nguruvi3,FJM,na Unstoppable na wengine,mwenzio Ritz1 amefaidika sana na hilo.JF change people's lives in many ways...BTW hivi hii status ya taifa letu utaiteteaje mkuu?Nope. I didn't mean "Hypothesis", I meant "hyperthesis" to the dot. I knew, you are of a different caliber and you'd swallow bait, hook, sinker and line. "Hyperthesis" is a bit too high a target for you.
I urge you to go read the "hyperthesis philosophy" you might have a hint of what I meant, please do not confuse hyperthesis philosophy with hyperthetic philosophy let alone hypothesis science. If you only know what I mean.
Duh! :nerd:Nope. I didn't mean "Hypothesis", I meant "hyperthesis" to the dot. I knew, you are of a different caliber and you'd swallow bait, hook, sinker and line. "Hyperthesis" is a bit too high a target for you.
I urge you to go read the "hyperthesis philosophy" you might have a hint of what I meant, please do not confuse hyperthesis philosophy with hyperthetic philosophy let alone hypothesis science. If you only know what I mean.
Wanambeep Kiranga hao.duh!mdahalo ushaanza?kaazi kweli kweli,Mag3 najuwa mtaenda pound for pound,jaribu kutumia fursa hii kujinoa mkuu.Jamaa naye yuko fit sana tu kwa mjadla,kuna watu ningependele pia kama ungejaribu kujifua nao kwa mijadala ya constructive,watu kama Nguruvi3,FJM,na Unstoppable.Hivi hii status ya taifa letu utaiteteaje mkuu?