Invitation to all JF members: Debate!

Wengine kabla hatujathibitisha kuhudhuria utuambie wewe unatofautianaje na Anna makinda kwa mfano makinda hajaolewa, makinda anaegemea chama chake bungeni, makinda hakubali miongozo ya chadema kiurahisi, makinda anajichekesha chekesha, makinda hajiamini, full time yuko na wigi, makinda amepwaya kwenye joho la uspika (kimbau mbau) makinda hajui sheria kabisaaaa, makinda anajua kanuni tuuuuuu tena zinazoipendelea serikali . . . . . . . . . . . . .
 
Tungeomba mpeleke hii note ikulu tumualike na Rais aje achangie na kujitetea, si mnaonaga at times obama anakua online anajibu maswali...mwambieni na yeye aje hapa u never know inaweza ikafanya watu wakaiona ccm na serikali kwa mtazamo tofauti
 
This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:

1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba EAT kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);

2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;

3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;

4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;

5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;

6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);

7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;

8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;

9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;

10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.


Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.

Asanteni wote na karibuni.


Update:
Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)
Ok Nitatokelezea siku hyo Inshallah
 
Nadhani debate ingekuwa ya kipindi 2005-2010 ili iwe fair kwa Rais. Kudebate kipindi chake cha pili ni kama kwa sasa ni kama kusema kuwa farasi mmoja kati ya wale wanaoshinda keshashinda wakati mbio hazijesha.
 
Tungeomba mpeleke hii note ikulu tumualike na Rais aje achangie na kujitetea, si mnaonaga at times obama anakua online anajibu maswali...mwambieni na yeye aje hapa u never know inaweza ikafanya watu wakaiona ccm na serikali kwa mtazamo tofauti

Atajibu nini sasa?au unatamani kukasirika?
 
Mwali na Roulette ... Thanks for this !!Mwali utakimbia lakini hutajificha hah hah ... anyway I am happy with your new task!! Bravo!!! Will see you there!!Jambo la msingi ...!!Tunaomba abstract ya kitakochokuwa kinajadiliwa ... hata kwa ujumla tu ... siku si nyingi tunahitaji kujiaandaa!!!
 
Last edited by a moderator:
nimeona kuna mtu katoa maana ya debate kwa kiswahili
mimi najua ilikuwa ni MDAHALO
sasa hili jina la MNAKASHA ndo nasiika leo
so ningependa pia walimu wa kiswahili watusaidie pia.
 
Back
Top Bottom