Invitation to all JF members: Debate!

Invitation to all JF members: Debate!

Ingekuwa vyema kama nakala hiyo angepewa baada ya maoni kuchambuliwa na kuandaliwa kwa ufasaha...Lakini swali linakuja, ni nani amabaye atapeleka nakala ya hii debate kwa mheshimiwa presda?


Pelekeni reception ya Ngurdoto, ataikuta pale atapoenda kula gud time.
 
Kumbuka hapa hakuna Usalama wa Taifa wala yule Jaji aliyehukumu kesi ya Lema kwamba watakuja kuwasaidia. Tutawashindilia hoja hadi mkimbie JF kama ndugu yenu Rejao na Mwita25! Zomba kwa Matola ni sawa na empty heard! Subiri uone!

TUMBIRI (PhD, University of Hull, UK),

tumbiri@jamiiforums.com
Nani amekimbia wewe??? siku zote tupo hapa JF. Sometimes kukaa kimya ni jambo la hekma zaidi.
 
Mkuu kwanza si unaona ni "golden member",nenda katizame hiyo status huwa inakuwa achieved kivipi,behind huo msura wa avatar there's something "dada" anaweza ingia mkenge lol!Kuna moja aliingia nayo mwanzo ya uchi lol!JF raha tupu sometimes...As unakutana na watu wa tofauati ambao katika maisha ya bila mtandao tusingekaa tuweze kukutana na kuwasikia,pia kuwasoma...

jmushi1,

Kwa hiyo wewe ni Samuel Jackson...lol..
 
Last edited by a moderator:
Inshallah Mungu atupe uzima nitashiriki; ila mjadala utahusu maendeleo ya taifa au UDINI?

Kwasababu inaeleweka ndani ya JF ni kama Lebanon miaka ile kuna makundi ya wanamgambo wenye siasa kali wa kikristo wakiungwa mkono na Israeli na wanamgambo wenye siasa kali wa kiislam wakiungwa mkono na Iran hapo ni silaha zote moderator sijui utaulinda vipi mjadala huu.

Je moderator kuna wadau wengi wa nje wangependa kushiriki tungeomba uzingatie suala la mapishano ya muda;
Ritz, Zomba, Topical, Mkandara na wadau wote wa JF natawakia Ramadhan njema!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Inshallah Mungu atupe uzima nitashiriki; ila mjadala utahusu maendeleo ya taifa au UDINI? Kwasababu inaeleweka ndani ya JF ni kama Lebanon miaka ile kuna makundi ya wanamgambo wenye siasa kali wa kikristo wakiungwa mkono na Israeli na wanamgambo wenye siasa kali wa kiislam wakiungwa mkono na Iran hapo ni silaha zote moderator sijui utaulinda vipi mjadala huu. Je moderator kuna wadau wengi wa nje wangependa kushiriki tungeomba uzingatie suala la mapishano ya muda;
Ritz, Zomba, Topical, Mkandara na wadau wote wa JF natawakia Ramadhan njema!

Chama
Gongo la mboto DSM

chama,

Umeandika maneno mazito mkuu wangu katika ujenzi wa JF huru....tunapingana kwa hoja lakini bado ni wamoja ni jukumu letu sote kuifanya JF iwe shule....nawatakia Ramadhan njema wana JF wote.


JF Daima.
 
Last edited by a moderator:
chama, Umeandika maneno mazito mkuu wangu katika ujenzi wa JF huru....tunapingana kwa hoja lakini bado ni wamoja ni jukumu letu sote kuifanya JF iwe shule....nawatakia Ramadhan njema wana JF wote. JF Daima.
Haya ndio maanjumati yenyewe ya Ramadhan, siku nitakayofuturisha wana JF menu yenyewe ndio hii hapa.


 
This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:

2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;

wabongo mnapenda sana midahalo...huo muda wa kufanya kazi nyie mnapiga domo......tushachoka na debate
 
[/INDENT][/FONT][/COLOR] wabongo mnapenda sana midahalo...huo muda wa kufanya kazi nyie mnapiga domo......tushachoka na debate

Yo Yo bana mbona na wewe upo hapa saa hii?
 
Hi safi sana na inapendaza kwa kweli .. Siku nyingine tutumie SKYPE...( is just a suggestion )
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nani amekimbia wewe??? siku zote tupo hapa JF. Sometimes kukaa kimya ni jambo la hekma zaidi.

Haha ha ha ha ha! Mkuu Rejao heshima mbele. Umepotea sana siku hizi Mkuu wangu? Anyway mzima wewe? Familia Je?
 
Last edited by a moderator:
mi nipo nipo tu lawyer ..
we ndo umetukimbia kinamna..

Vipi uta join huu mdahalo au utakuwa kulee mlima .......?? unatuombea
hahaha siwezi kuukosa huu mdahalo, ntaongea na Mwali anipe upendelea wa Swali moja kwa Zomba
 
hahaha siwezi kuukosa huu mdahalo, ntaongea na Mwali anipe upendelea wa Swali moja kwa Zomba

hahahahha karibu bana.
ila usimbane sana Mwali si dhani majibu ya kila swali lol 🙂
will be very interesting.. mi ntakuwa msomaji zaidi maana kwenye siasa nimechemsha kidogo lol 🙁
 
Nakubaliana na pendekezo lako.
Kama vile ule mkutano wa wadau pale British Council juu ya Regia Foundation.

kabisa Nzi nimekumbuka siku ile ndio maana nikapendekeza.
nashukuru kwa kuunga mkono 🙂
 
Last edited by a moderator:
This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings: 1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba EAT kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT)

Wazo zuri.

Ila nina pendekezo (ingawa mimi si kati ya wapambanaji wa mnakasha? huo), muda huo ni siku ya Jumanne, siku ambayo wengi wetu (naamini hata wapambanaji) tupo kwenye shughuli za kutuwezesha kuweka chakula mezani. Sasa unaonaje kama mnakasha? huo ukifanyika mwisho wa juma tarehe 28 au 28? Muda unaweza ukabaki kama ulivyo.

Ni wazo tu.
 
Back
Top Bottom