Invitation to all JF members: Debate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Invitation to all JF members: Debate!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Roulette, Jul 19, 2012.

 1. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  This serves to invite all JF members to a debate. herewith the proceedings:

  1. Hii thread inawaalika JF members wote jukwaa la siasa tarehe 24, saa saba East African Time kwenye debate kati ya zomba na Matola (July 24, 2012, at 13:00 EAT);

  2. Debate itahusu utawala wa Rais Kikwete toka mwaka 2005 hadi 2012;

  3. Debate itaongozwa na Mwali katika lugha mbili: Kiswahili na Kiingereza;

  4. Mwali ataanda na kupost masuali kumi (10) yatakao jadiliwa na waalikwa kwenye thread hiyo, suali la kumi na moja na la kumi na mbili (11 na 12) zikiwa masuali toka kwa waalikwa wenyewe, la kumi na tatu, kumi na nne na kumi na tano (13, 14 na 15) ni suali toka kwa members;

  5. Siku ya debate Mwali atauliza suali moja mmoja na kuwapa waalika, each at his own time , nafasi ya kujibu suali hilo. Waalikwa watapewa not more than 20 min kujibu masuali;

  6. Baada ya waalikwa kujibu suali toka kwa Mwali (au baada ya muda wa dakika 20 kupita), waalikwa wataruhusiwa kuulizana suali la ufafanuzi wa majibu (suali moja kila upande);

  7. Baada ya jibu la ufafanuzi Mwali ataleta suali lenye kufata, na kuendelea na debate. waalikwa pekee ndio watakao jibu masuali, majibu mengine yote yatafutwa;

  8. Masuali yote 15 yakisha jibiwa, debate itafungwa ila members wengine wataalikwa kuchambua na kuwahoji waalikwa ambao watakua huru kujibu au kutojibu masuali;

  9. thread itakua stuck kwa muda wa mwezi mmoja ili members mbali mbali watoe majibu yako kwa masuali ya debate;

  10. Masharti ya JF kuzingatiwa kila wakati.


  Kama kuna maoni yoyote naomba myafikishe kwa kupitia thread hii, kabla ya saa sita mchana tarehe 23 July 2012.

  Asanteni wote na karibuni.


  Update:
  Debate itaanza saa nane kamili (14:00, EAT) as per Zomba's request (post #5)

  Link ya mjadala:https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297111-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012

  Link ya members wengine kuchangia: https://www.jamiiforums.com/great-thinkers/297118-mjadala-tathmini-ya-utawala-wa-rais-kikwete-2005-2012-side-comments.html#post4302632   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Nashukuru kwa hilo nadhani kila mmoja atatoa dukuduku lake haswaaaaaaaaaaaaaaaaa.>....!
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,394
  Likes Received: 8,528
  Trophy Points: 280
  asante roulette nimekupata vizuri.i'll be there on time.
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Thanks Madam Roulette for the info. Ila pia ningependa kuwashauri members wote watakaopartcipate katika debate hiyo wachangie kwa amani na kwa kufuata sheria za JF.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Swaafi sana, nigeomba saa saba isogezwe kidogo iwe saa 8, kwani kama InshaAllah hiyo itakuwa ni wakati wa swalaat dhuhr na sisi Waislaam tutakuwa katika mwezi wa kufunga na kuomba magh****.

  Unaweza anzisha mjadala wakati huo lakini tukiwa hai na majaaliwa sitoweza kuwepo on line kabla ya saa saba na nusu, nna uhakika saa 8 kamili itakuwa muafaka kwa wote.
   
 6. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Much RESPECT.....! hahahaha
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Nadhani mungu akijalia nikiwa mzima takuwepo tunashukuru kwa invitation.
   
 8. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Thanx Mwali and Roulette for the info will surely participate full. Roulette i know swahili seems tough to you but just for a note, its Swali and not Suali
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Asante sana. Kiswahili wala hakinipi shida. Nadhani kuna two schools of thoughts. Kuna ambao wanaamini Suali ni sahihi na wengine wanasisitiza kua Swali ndio sahihi. Kwa sasa nadhani zote mbili zinaruhusiwa (Dixit Kiranga)
   
 10. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  Zomba ataanza kukusanya madesa kwa Nape kuanzia leo!
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  thanks Roulette and infect i was about to post such a request but on different forum. so let me participate on this before coming into my forum
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  Wazo ni zuri,ila itakua bora zaidi matokeo ya mjadala na solutions yake apewe nakala mhusika(presda)
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  okay! pamoja mkuu,huu mpambano kuna hatari ya mtu kuweka mpira kwapani akinyimwa madesa pale Lumumba!
   
 14. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,642
  Likes Received: 3,019
  Trophy Points: 280
  Nitazungukia
  "Vox populi,Vox dei"
   
 15. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pia iwapo na ya slaa kupora mke wa mtu na hatima ya tanzania
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Thank you gfsonwin. I think this type of initiative should be encouraged, particularly between members who have different views and opinions but who have so much to share with us. I hope this is just the first of a long series. Let me know when ready so we can facilitate an effective moderation na kutoa post zote za kupoteza mwelekeo wa thread. Pamoja sana :poa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. k

  kibali JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza kwenye hiyo dabate hakutakua na uwezo wa wasomaji kuchakachua kabla ya walengwa kumaliza kujieleza?
   
 18. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ndio. So long as hamtoi majibu, na kama post zinahusu mada inayo jadiliwa, hakuna ubaya. wakati debate inaendelea tutapokea masuali mbali mbali toka kwa members, na mwisho kabisa suali tatu zitachaguliwa kua suali 13, 14 na 15.
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  i will keep in-touch with you when am ready ma dearest. we are here to build our intellectual abilities.
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  dah! MTAZAMO umenichungulia kimtindo??? nimekumulika tu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...