Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,695
- 11,292
Wanakimbia nini Kwao?warudi kwaoTrump Ni Kama Kichwa Cha Mwendawazimu
Wanakimbia nini Kwao?warudi kwaoTrump Ni Kama Kichwa Cha Mwendawazimu
Kumbe ni fake news jamaa kaingia chaka kama TBC na ile ya Trump kumpongeza mtu mkubwa.Cha kushangaza hii Picha ni ya watu wa Venezuela wakielekea Brazil kile kipindi mabomu yalipomkosa Rais wao na maisha kuwa magumu wakatembea kuelekea Peru na Brazil sio USA kama tunavyodanganywa hapa na mtoa nyuzi....
Wenzetu ishu ya mavazi walishamalizana nayo zamani sana....hpo wanahangaikia maisha mazuri ya uhakika wa kula na kuwapatia watoto wao elimu ya kuelewekaHawa maskini mbona wamependeza hivi kimavazi
Umenena mkuu!! Wakuskia na wakuskieHollywood imedanganya watu sana, kila mtu anafikiria kwamba akiingia USA ataishi hayo maisha ya kwenye movies.
Pambana hapo ulipo kitaelewka.
Umenena mkuu!! Wakuskia na wakuskieHollywood imedanganya watu sana, kila mtu anafikiria kwamba akiingia USA ataishi hayo maisha ya kwenye movies.
Pambana hapo ulipo kitaelewka.
Lakini serikali zao zinatoa ruzuku kwa wachovu. Huku serikali zinaminya kila kitu. Sasa hivi mfuko WA mbolea ni elfu 60,umeme Juu,petrol juu!Blaza acaha kupiga porojo mchana kweupe. Kule hakuna hata nafasi ya kugongea msosi kwa mtu km hapa bongo tunavyofanya unatega mida msosi unazamia kwa jiran unakula tena unakuja na kinywaji chako kabisa ( kule hayo maisha hakuna). Kule hata kwenda kwa uncle au aunt au ndugu yeyote pasipo sababu za msingi hakuna. Tz maisha muruwa sana.
Ahh wapi and big hell no it will never happen walahiIngekuwa Tanzania caravan toka Rwanda na Burundi inaelekea boda kuingia TZ Magufuli angeruhusu waingie tu kwa kuwa wanajiita masikini??
Lakini serikali zao zinatoa ruzuku kwa wachovu. Huku serikali zinaminya kila kitu. Sasa hivi mfuko WA mbolea ni elfu 60,umeme Juu,petrol juu!
TrueHollywood imedanganya watu sana, kila mtu anafikiria kwamba akiingia USA ataishi hayo maisha ya kwenye movies.
Pambana hapo ulipo kitaelewka.
Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...
View attachment 907313
Kunya is nextHizo ndizo effects za capitalism .....Tungojee kuanguka kwa mataifa ya ubepari...unazalisha matajiri lakini ili wawepo matajiri wachache ni lazima masikini wawepo kwa mamilioni...masikini ndio wanaonyonywa na ndio wanaozalisha ili kuwafanya wengine wawe matajiri...sasa mfumo huu unafikia kikomo cha kuhimili vishindo vyake...the demise of capitalism is approaching...
Kweli ulaya sio kama Afrika masikini wengi ni vibonge huku matajiri ndo vibonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...
View attachment 907313
Wanakimbia nini Kwao?warudi kwao
Mimi sitakufa nitaishi sana tu miaka 100+.Maisha yangu hayategemei kudra za wanasiasa!Tutafika tu, walahi
Punguza pressure utakufa siku si zako
Kivipi? Kwa hiyo unataka waingie tu ili wakafanye nini na wakati wameacha nchi zao?Trump Ni Kama Kichwa Cha Mwendawazimu
Nchi maskini kuliko zote pande za huko ni Haiti,lakini kwa vigezo wanavyotumia wachumi wa kidunia Afrika bado linaendelea kuwa na nchi zinazoongoza kwa umaskini duniani.Really?? Kukosa hela ya club ndo kumfanye mtu avamie nchi nyingine na watoto wadogo, apigane na askari kulazimisha kuingia nchi nyingine shauri tu ya kupata hela ya kwenda club?
Hivi darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi kwenye mtihani, kwa maana duh!
Tatizo Una papara mno kama mwenyekiti wako,tuliza kichwa kwanza ndo utaelewa,amemaanisha umaskini wa US ni tofauti na umaskini wa Tanzania na India.Really?? Kukosa hela ya club ndo kumfanye mtu avamie nchi nyingine na watoto wadogo, apigane na askari kulazimisha kuingia nchi nyingine shauri tu ya kupata hela ya kwenda club?
Hivi darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi kwenye mtihani, kwa maana duh!
Mkuu umeishi nchi ngapi hapa Duniani?Watz huwa tuna mentality eti sisi ndio tuna shida sana,oooh hatujui tunachokisema wengi wetu,kuna nchi ukipelekwa dk 10 nyingi utaomba urudishwe kwenu.
Lakini serikali zao zinatoa ruzuku kwa wachovu. Huku serikali zinaminya kila kitu. Sasa hivi mfuko WA mbolea ni elfu 60,umeme Juu,petrol juu!