Hata siku moja hauwezi kufanana. Umaskini wa kule ni wa kukosahela ya kwenda clab, kwenda tour na starehe zingine. Suala la kuvaa, kula na malazi mazuri walishayafikia kitambo sana.Hivi umasikini wa uko unafanana na wa kwetu?
Hata siku moja hauwezi kufanana. Umaskini wa kule ni wa kukosahela ya kwenda clab, kwenda tour na starehe zingine. Suala la kuvaa, kula na malazi mazuri walishayafikia kitambo sana.
Nakuwaga wa mwisho darasani. Una lingine?Really?? Kukosa hela ya club ndo kumfanye mtu avamie nchi nyingine na watoto wadogo, apigane na askari kulazimisha kuingia nchi nyingine shauri tu ya kupata hela ya kwenda club?
Hivi darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi kwenye mtihani, kwa maana du?
Waingie tu Marekani haina mzawa wote wavamizi tu. Fungua mipaka bwana Trump tuingie hapo tufanye maisha. Kila mtu apambane na hali yake. Mungu hakuweka hii mipaka ya kichoyo na kibaguzi. [emoji23][emoji23][emoji16][emoji119]
Really?? Kukosa hela ya club ndo kumfanye mtu avamie nchi nyingine na watoto wadogo, apigane na askari kulazimisha kuingia nchi nyingine shauri tu ya kupata hela ya kwenda club?
Hivi darasani ulikuwa unakuwa wa ngapi kwenye mtihani, kwa maana du?
Mimi darasani huwa nakuwaga wa mwisho. But hata kama kusoma hujui, hata picha huoni? Hao watu wanafanana na ndugu zetu kule Dodoma vijini? au na wale Wasandawe wa kule Kondoa kusini? au na wahadzabe wa bonde la eyasi? au na ndugu zetu kule Pangani na kule Ngara? Tumia akili badala ya kichwa. usifikiri umaskini wanaosema wenzetu kule nje ni huu wa kwetu huku Afrika. Sisi tupo kwenye kitu kinaitwa ABSOLUTE POVERTY wakati wenzetu walishatoka huko siku nyingi sana. Wenzetu wanapambana na RELATIVE POVERTY. Wana maisha mazuri tu lakini wanataka na wao waishi kama Wamerikani.
Watu maskini sana ndo hao uliotuwekea picha zao? au ulichukua picha mitaa ya pale Old Traford na kutuwekea humu.Nenda vijijini kawaone watu maskini then uje na picha za watu maskini.Honduras, Elsalvador, Guatemala ni masikini sana tu, na ndiyo ukienda huko Honduras utaona watu wanaoishi kwenye milima kijima kabisa kama kwetu tu.
Usiseme mambo ambayo labda hauyafahamu, hizo nchi ni
Masikini sana na hakuna amani kwao ya kuishi na ndo maana wanakimbia.
Sialivamia lakini? Iweje sasa azuie watu kuingia ikiwa na yeye ni immigrantSidhani kama ni sahihi kusema USA haina wenyewe, Muzungu amejenga USA mwanzoni ilikuwa ni mapori tu kama Afrika, hivyo aliyejenga nchi ndiye mmiliki, na ndiye anayeamua nani aingie nani asiingie!
Sialivamia lakini? Iweje sasa azuie watu kuingia ikiwa na yeye ni immigrant
Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...
View attachment 907313