Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 10,258
- 14,102
Mkuu wamechoka Kama serikali ya Jiwe!Honduras, El salvador au Guatemala inapitoka caravan hakuna ruzuku yoyote ile ktk Serikalini ni kama Bongo tu!
Mkuu wamechoka Kama serikali ya Jiwe!Honduras, El salvador au Guatemala inapitoka caravan hakuna ruzuku yoyote ile ktk Serikalini ni kama Bongo tu!
Nimeishi Honduras miezi 6,aisee Tanzania ni pepo,japokuwa hawana maisha magumu sana kama ya Tanzania lakini ni nchi ya hovyo mno,kuuliwa kule ni sawa na mtu anaua mendeHonduras, Elsalvador, Guatemala ni masikini sana tu, na ndiyo ukienda huko Honduras utaona watu wanaoishi kwenye milima kijima kabisa kama kwetu tu.
Usiseme mambo ambayo labda hauyafahamu, hizo nchi ni
Masikini sana na hakuna amani kwao ya kuishi na ndo maana wanakimbia.
Wamesahau kila siku wanawakamata waSomali na wahabeshi wanaoelekea SA, tena ni wachache!Kivipi? Kwa hiyo unataka waingie tu ili wakafanye nini na wakati wameacha nchi zao?
Kila mtu na abebe mzigo wake,America is for Americans, India is for Indians,Tanzania is for Tanzanians.
Mbaya zaidi wanataka kuingia bila kufuata taratibu za uhamiaji,yaani lundo la watu utadhani nzi wanaingia chooni,halafu unamlaumu Trump,kuna watu mnashangaza sana.
Mkuu umechanganyikiwa wewe si bure,yaani kuna nchi ya watu kuingia hovyo?Sialivamia lakini? Iweje sasa azuie watu kuingia ikiwa na yeye ni immigrant
Nipeleke Mirembe mkuuMkuu umechanganyikiwa wewe si bure,yaani kuna nchi ya watu kuingia hovyo?
Hivi LiNchi mpaka raisi anakula rambirambi za watu waliofikwa maafa hapo kuna kitu?Mkuu umeishi nchi ngapi hapa Duniani?
Tanzania ni moja ya nchi ngumu mno kimaisha.
Yaani Tanzania ni kuzimu ndogoHivi LiNchi mpaka raisi anakula rambirambi za watu waliofikwa maafa hapo kuna kitu?
Si kweli!Hata siku moja hauwezi kufanana. Umaskini wa kule ni wa kukosahela ya kwenda clab, kwenda tour na starehe zingine. Suala la kuvaa, kula na malazi mazuri walishayafikia kitambo sana.
Sisi bado tunaishi kijamaa mkuu..Blaza acaha kupiga porojo mchana kweupe. Kule hakuna hata nafasi ya kugongea msosi kwa mtu km hapa bongo tunavyofanya unatega mida msosi unazamia kwa jiran unakula tena unakuja na kinywaji chako kabisa ( kule hayo maisha hakuna). Kule hata kwenda kwa uncle au aunt au ndugu yeyote pasipo sababu za msingi hakuna. Tz maisha muruwa sana.
Ndio maanaNakuwaga wa mwisho darasani. Una lingine?
Naam, na ndio maana hatunaga kufa njaaSisi bado tunaishi kijamaa mkuu..
Umemsahau yule dada wa mitandaoni blaza, sijui anajiita mange kimambiHollywood imedanganya watu sana, kila mtu anafikiria kwamba akiingia USA ataishi hayo maisha ya kwenye movies.
Pambana hapo ulipo kitaelewka.
Blaza, nenda kafuatilie vizuri. Ila kwa taarifa ya juu juu ni kwamba Mataifa yaliyokuwa yanafanya hivyo ni mataiofa ya East Europe & Uarabuni. Saiv yamebaki baadhi ya East Europe. Latin America unakufa njaa na hakuna anaye jali mkuu.Lakini serikali zao zinatoa ruzuku kwa wachovu. Huku serikali zinaminya kila kitu. Sasa hivi mfuko WA mbolea ni elfu 60,umeme Juu,petrol juu!
Matatizo ya nchi zao kiasi kukubwa yamesababishwa na USA. Bora walichokifanya ni kitu cha kuigwaHawa jamaa vipi wameshindwa kwao wanaenda kwa wengine kwa pupa.. Na mimi ningewatoa nduki