Invasion USA (masikini wavamia USA)!

Invasion USA (masikini wavamia USA)!

Hata siku moja hauwezi kufanana. Umaskini wa kule ni wa kukosahela ya kwenda clab, kwenda tour na starehe zingine. Suala la kuvaa, kula na malazi mazuri walishayafikia kitambo sana.
Mkuu hivi ukiwa na ardhi unaweza kuwa masikini?Nadhani umasikini ndio lakini si wa kushindwa kula vizuri.labda ujitakie mwenyewe
 
Sidhani kama ni sahihi kusema USA haina wenyewe, Muzungu amejenga USA mwanzoni ilikuwa ni mapori tu kama Afrika, hivyo aliyejenga nchi ndiye mmiliki, na ndiye anayeamua nani aingie nani asiingie!

Vipi kuhusu kaburu kwa Mandela? naye alijenga na kuendeleza nchi + ubaguzi.
 
Hata siku moja hauwezi kufanana. Umaskini wa kule ni wa kukosahela ya kwenda clab, kwenda tour na starehe zingine. Suala la kuvaa, kula na malazi mazuri walishayafikia kitambo sana.
Blaza acaha kupiga porojo mchana kweupe. Kule hakuna hata nafasi ya kugongea msosi kwa mtu km hapa bongo tunavyofanya unatega mida msosi unazamia kwa jiran unakula tena unakuja na kinywaji chako kabisa ( kule hayo maisha hakuna). Kule hata kwenda kwa uncle au aunt au ndugu yeyote pasipo sababu za msingi hakuna. Tz maisha muruwa sana.
 
Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...

View attachment 907313

Ipo notion kichwan mwa walimwengu wa sasa kuwa USA maisha ni muruwa hivyo lazima waende nao wakayafaidi maisha hayo. Pia USA kuonyesha kujali sana haki za binadamu kwa kupinga & kuopigia kelele vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu na misingi bora ya utawala vimekuwa chachu & vivutio vikubwa kwa watu wengi wa mataifa mengine
 
Hollywood imedanganya watu sana, kila mtu anafikiria kwamba akiingia USA ataishi hayo maisha ya kwenye movies.
Pambana hapo ulipo kitaelewka.
 
Blaza acaha kupiga porojo mchana kweupe. Kule hakuna hata nafasi ya kugongea msosi kwa mtu km hapa bongo tunavyofanya unatega mida msosi unazamia kwa jiran unakula tena unakuja na kinywaji chako kabisa ( kule hayo maisha hakuna). Kule hata kwenda kwa uncle au aunt au ndugu yeyote pasipo sababu za msingi hakuna. Tz maisha muruwa sana.
Kule hayo maisha hakuna siyo kwa sababu ya umaskini. Ni kwa kutokana na utamaduni wao. Kwa watu weupe hamna kitu extended family na kuzamia zamia. Hata Ulayakila mtu anakula chake. Ni Waafrika tu ndo wana upendo wa kushirikianakaribu kila kitu. Kule hatamsiba watu hawana muda wa kuja kukaa na wewe kuomboleza.
 
Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...

View attachment 907313
Karavani la masikini kutoka Honduras, Guatamala, Mexiko, Waarabu, Wahindi &Co. wakielekea USA, D.Trump ameapa hao masikini kamwe hawataingia USA, amesema atatuma US army kama JWTZ yetu ya USA kuzuia, ...

View attachment 907313

Waende Urusi kuna maisha mazuri watapokelewa warusi ni wakarimu sana kwa wahamiaji
 
Cha kushangaza hii Picha ni ya watu wa Venezuela wakielekea Brazil kile kipindi mabomu yalipomkosa Rais wao na maisha kuwa magumu wakatembea kuelekea Peru na Brazil sio USA kama tunavyodanganywa hapa na mtoa nyuzi....
 
Akiwapokea hao huenda taifa likazidi kumea
 
Kule hayo maisha hakuna siyo kwa sababu ya umaskini. Ni kwa kutokana na utamaduni wao. Kwa watu weupe hamna kitu extended family na kuzamia zamia. Hata Ulayakila mtu anakula chake. Ni Waafrika tu ndo wana upendo wa kushirikianakaribu kila kitu. Kule hatamsiba watu hawana muda wa kuja kukaa na wewe kuomboleza.
Ila huoni kuwa yote hayo yametokana na kutokuwa na uwezo wa kuwahudumia wengineo(extended family) tofaut na huku kwetu? Bado utasema sisi maskini?
 
Back
Top Bottom