๐Ÿง  Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

Reasoning first.

Kwa sababu unaweza kuwa hata na intuition ya uongo.

Unajikuta unaamini intuition yako kumbe ni mawenge na malue lue tu!

Mwisho wa siku unaingia chaka.

Reasoning first.
Kuna tofauti kubwa ya intuition na hisia, hisia ndio inaweza kukuingiza chaka,lakini intuition ni sauti ya ndani kabisa ukiwa makini kuitofautisha na hisia siku zote hutaingia chaka
 
Huwezi kuignore intuition. By reasoning maana yake tunarefer emotions ili tufanye maamuzi.

Hisia zinasema nahisi tufanye kitu fulani, akili inasema hiki kinafaha au hakifahi katika namna gani...
Nadhani tunachanganya hisia na intuition hapa

Hisia ni matokeo ya kile ambacho tumekiexperience tayar,ukipendwa unakuwa na hisia nzuri na usipopendwa unakuwa na hisia mbaya,huo ni mfano tu

Lakini intuition is an innocent voice from within, inakuongoza au kukulinda na jambo fulani
 
Yep mkuu,nakuelewa sana hapa na ndio msimamo wangu au imani yangu,intuition is like God is speaking to you au wanasayansi msiotaka kuita Mungu huwa mnasema Nature,kwahiyo ni kama Nature is speaking to us,na mara nyingi sauti ya ndani haina kigeugeu,kama inakuongoza inakuongoza na kama inakutahadharisha ina kutahadharisha,kifupi imenyooka kama ruler
 
True hawa watu wanafuata sauti yao ya ndani kabisa

Wasomi ndio huja na mambo yao ya kisomi na tahadhari nyingi mwisho wa siku hawachukui hatua,na mwisho wa siku wanapoteza opportunities

Lakini wenye kufuata sauti ya ndani mara nyingi hawana mambo mengi,wanaamini katika wito wa ndani na paap wanafanya na matokeo yake ni bambam
 
asante mkuu nimepata kitu hapa.
 
Ooh sawa mkuu
 
Sio kila mara Sauti ya ndani inafanya kazi mana hiyo ni Emotional Tu.

Ndio mana hata watu wa usalama hawatumii Sauti ya ndani wee mwanamke.

Ukizidisha kutumia Sauti ya ndani lazima ikuuzie kicheche ili siku nyingine utumie Mind
 
Sio kila mara Sauti ya ndani inafanya kazi mana hiyo ni Emotional Tu.

Ndio mana hata watu wa usalama hawatumii Sauti ya ndani wee mwanamke.

Ukizidisha kutumia Sauti ya ndani lazima ikuuzie kicheche ili siku nyingine utumie Mind
Asante kwa maoni
 
Ndiyo vinaweza kufanya kazi kwa pamoja. Mimi sijui inanitokeaje ila huwa sometime najiona mchawi, Nafikiri Mwili unahitaji balance kwenye kila kitu chake. Mfano akili na mwili jinsi vinavyoreact wakati tofauti
 
Tulifundishwa hii tukiwa hatua ya kipaimara juu ya sauti ya ndani/ dhamira
 
Izo n njia mbili za kupata ujumbe;
1.Njia ya KIMWILI _ Ambayo chanzo chake n MAZINGIRA _ MILANGO YA FAHAM - FAHAM(Ubongo) - MAARIFA au NAFSI ambayo ndan yake kuna Akili, Hisia na Utash.
Maarifa n kitu ambacho tayar unakijua kwaio kwenye nafs ya mtu kitachohusika zaid n Akili na Utash/ Maamuzi/Reasoning.

2.Njia ya KIROHO _ Ambayo chanzo chake n ROHO na kwasababu ujumbe n dharula au uko nje ya uwezo au uelewa wako bas ujumbe hautopita njia za utambuzi kama ubongo/faham, akili, utash wala sheria ila utatumia saut, hisia, iman na dhamiri itayokulazimisha maamuzi.

Kwaio njia zote hizi n sahihi na kujua n sahihi n kutazama AMAN YA MOYON.
Maana uongo au kukosea huambatana na shaka moyon.
 
Shukran sana
 
Hebu ngoja kwanza hayo majani vipi ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿผ sijawahi kabisa

Nilikua nauliza tuu, wanasema Yale majani huongeza uwezo wa kufikiri+ kung'amua mambo.

Vyema sana, nimependa sana uwezo wako wa kuREASON mambo. It seems like you're good personally.

Mkuu I can promise and guarantee ๐Ÿ’ฏ, kama unamdogo wakike yupo kama wewe namuomba๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.
Shukran kwa maoni mkuu๐Ÿ™๐Ÿ™

Shukrani pia kwa maada mujarabu kabisa.

Barikiwa sana.
 
Yale majani naona wanaotumia ni kama hawapo timamu aiseee
Wewe unatumia?

Polee sana ๐Ÿ˜ข ๐Ÿคฃ
Kwetu wa kike ni mimi pekee๐Ÿ˜Š
Wengine ni wanaume
Shukrani pia kwa maada mujarabu kabisa.

Barikiwa sana.

Nawe pia mkuu barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ