🧠 Intuition vs Reasoning: Ipi Inapaswa Kuongoza?

Kwani sauti ya ndani inatoka wapi,utajikuta hata sauti ya ndani inatokana na uzoefu wako na mitazamo yako juu ya masuala tofauti tofauti.

Imagination is powerfull than knowledge.
Imagination =intuitions
Knowledge =reasoning
Imagination inakuaje intuition mkuu?
Dadavua?
 
Meaning I should use the information that I have why not reasoning
Umeambiwa biashara ya nguo iringa ni rahisi ukiwa na fremu.

Utaanza tena kuuliza kwanini? Akati tayari umeshakuwa full informed?

Au unaambiwa ukitaka kuzalisha faida kubwa kwenye biashara yako inabidi ujue kuwashawishi wateja.

Utauliza tena kwanini ?
 
We think then we reason😍
Ivi kuwaza ndo thinking afu reasoning ndo kufikiri au
Thinking: kufukiri
Reasoning: mchakato wa kufikiri kuchambua na kuunganisha taarifa kwa kutumia mantiki ili kufikia hitimisho
 
Nje ya mada au tufungue kanisa tupige hela bro 😅

Ndani ya mada
Sauti ya ndani mimi nimeupuuza mara kadhaa na kuishia kukosea

Ndio maana nauliza wadau
Je intuition na reasoning ni kipi kitangulie au vinafanya kazi kwa pamoja
Mimi kwa uzoefu wangu hivi vitu viwili vinafanya kazi kwa wakati tofauti huwa havikai pamoja na haviingiliani.
Nikijitolea mfano mimi binafsi kwenye mambo madogo madogo na ya kawaida huwa natumia reasoning ila kwenye mambo mazito ambayo reasoning imefeli kufanya kazi yaani kwa mfano unapata janga zito ambalo kwa akili ya kawaida ya kibinadamu inachemka kupata solution yake hapo ndipo reasoning inakaa pembeni na kutumika intuition.
 
Au basi.... nimeandika comment ndefu kabisa ilena post et naambiwa kumradhi kuna changamoto kidogo! mpaka nimechoka mwenzenu...

niseme tu good night!
 
Unaweza ukawaza(intuition/hisia) A, B, C, D, E, na F halafu reasoning(uchambuzi wa kimantinki) ikakuambia D ndio sahii.
 
Shukran sana mkuu
 
Mkuu nipo pamoja na wewe kwangu mimi naona au naamini intuition ndio muongozo bora kabisa wa mambo mengi sana kwenye maisha yetu

Ni kauli yenye sauti ndogo kabisa lakini ni very powerful kwa matokeo, ni muongozo ambao hauna shaka na wenye kujua yake ambayo hatuyajui

Ni kama Mwenyezi Mungu anajaribu kuwasiliana na sisi na kutupa dira au muelekeo wa kufuata,ila kwa bahati mbaya sana huwa tunaidharau sauti yetu ya ndani,matokeo yake tunakutana na mambo ambayo hatuku yatarajia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…