Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.
Hahah!Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.
Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.
Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.
Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.
Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.
Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.
Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.
Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
Kivp mkuu
nilibadilika nikawa extrovert kwake yani nikaacha mambo ya kujitenga, nikaacha ukimya nikimuona nk lakini mwenzangu hakutaka kubadilika, anafijufungia room kwake muda wote na tukiwa mbali hajibu texts yani hanitafuti mpaka nimtafute nikaamua kumpotezea tuKivp mkuu
Kweli kabisa. Niliwahi ku-experience hiyo situationDuh nlikua sijijui kam m ni introvert
Kumbe ndo asili ya intro manake nikimtumia beb text moja akishajib naon kam kero na yy ananion selfish...Yess tulishachokan na tushaachana intro na extro ni vitu tofautiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu Na Yesu husijaribu kuwalinganisha kwa namna Yoyote ileKiufupi Intros hawajaumbiwa mapenzi!! Maana hawayawezi
Angalia real introvert kama Yesu, Tesla, Newton, Da Vinci, nk nk hawakua na wapenzi.
Mbona kama unalazimisha waamini unachoamini wewe, kwahiyo wakuamini wewe au Carl Gustav?.bahati mbaya sikuona hii quote mapema. Nadhani wengi humu wanachanganya shyness au lack of confidence na kua introvert. Ninavyofahamu mimi introverts hawapendi kusocialize iwe kwa maneno au kwa maandishi. Kama huwezi kuongea mbele ya watu ila unapenda kuchat, wewe sio introvert bali ni mtu mwenye aibu!
unapenda muziki gani?Hahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.
Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.
Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.
Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.
Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.
Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.
Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.
Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
Napenda nyimbo za kale hasa rhumba.
Yani hata mimi ni humo humo mkuu...yani nilivyokua chuo wadau walikua wananishangaa masongi niliyokua naskiliza na umri wangu haviendaniNapenda nyimbo za kale hasa rhumba.
Kumbuka introvert ni tatizo(psychological effect), hivyo basis anapaswa kuwa na MTU ambaye ni well mentally ili aweze kum expose kwenye mazingira ambayo yataanza kumfanya achangamane na watu
introvet wengi hawaendi na wakati hivyo mambo mengi ya kidunia hawayaelewi kabisaYani hata mimi ni humo humo mkuu...yani nilivyokua chuo wadau walikua wananishangaa masongi niliyokua naskiliza na umri wangu haviendani
walitegemea ntakua naskiliza this modern songs ila mimi nilikua nakomaa na kina Pepe kale,Sam Mapangala,Aurlus Mabele na wengineo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache mpenzi wangu, hatupendi usumbufu sisiHahaha kumbe watu wengi hawapendi kuingiliwa na wanadamu katika mazingira yao.
Nadhani moja ya watu wasiopenda watu nami nipo. Naweza kutunukiwa hata papuchi ila ghafla nikaacha kufuatilia na siendelei tena. Sipendi kupigiwa simu ambayo haina japo la maana, yaani mtu akipiga simu kwa lengo la kupiga story nitatafuta dharura nimwambie anipigie baada ya dakika 5 na hapo hata apige sipokei.
Sipendi kupewa kazi ya kufuatilia kitu na mtu, ukiniambia nenda sokoni ulizia bia bei gani ujue mawasiliano yangu na wewe hayapo. Kuna jamaa aliniagiza nimuulizie kifaa cha gari sehemu nikamwambia anitafute baada ya siku 2 nimpe jibu, tangu mwaka jana mwezi wa 11 hadi leo sipokei simu maana naona ana usumbufu mwingi sana.
Huwa nakaa sehemu zaidi ya mwaka ila ni watu chini ya 10 wanaoweza kujua walau jina langu tu, sipendi kuchangamana na watu nachukia mikusanyiko ambayo naweza kuwa mmojawapo.
Nyakati fulani nilikuwa nakaa na mzee wangu nilikuwa naongea naye maneno kama 5 hivi kwa siku. Salamu ya asubuhi, karibu lunch, karibu dinner na usiku mwema. Kesho pia hivyohivyo.
Na watu wenye tabia hizi huwa wana akili sana anaweza kuchunguza jambo gumu akapata jibu na kuendelea kujifanya hajui lolote, wengi wao ni wadadisi, wana hisia za kweli na hupenda zaidi kutumia hisia na akili zao.
Nimepata mpenzi Extrovert naona ni kama upinzani ndani ya nchi, mwenzangu anaweza kuongea masaa 40 mfululizo ila mimi huongea pale linapokuja suala la kuongea ama kujibu. Kazini naenda kwa ratiba sipendi kwenda kukaa kazini bila ratiba yaani nashindwa kabisa.
Mengine njoo PM nikwambie Saint Anne
Kuwa introvert sio tatizo nakupingaKumbuka introvert ni tatizo(psychological effect), hivyo basis anapaswa kuwa na MTU ambaye ni well mentally ili aweze kum expose kwenye mazingira ambayo yataanza kumfanya achangamane na watu
Sent using Jamii Forums mobile app