Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Add me aisee am in
I love challenges plus I love exchanges ideas I will be honored to be team rafiki

mkuu yaani wewe unaingia moja kwa moja huhitaji gate pass wala kuomba request yeyote.
 
Munkari njoo basi huku walau na wewe utie neno nakumisije???
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu wa Kuanzisha Team Rafiki, namio naomba kujiunga rasmi ili kwa pamoja tuweze kushirikishana katika mambo mbalimbali ya kimaisha na kimaendeleo. Naomba unipe taratibu za kufuata.

All the best!!
 
taratibu zetu ziko simple nothing complicated unaomba uanachama unapewa lengo ni kudumisha urafiki tu.
 
Back
Top Bottom