hatutakupa uanachama kama unaleta u Bazazi wako
hapa chama chetu si mabazazi kamwe haturuhusu
marafiki wa aina hiyo hapa sisi ni waupendo, wamoja
na ambao tunaheshimiana hivyo ondoa ubazazi wako
Waniitia nini
Huku ukiporomosha matusi!
Bazazi ni mtoto wa kikopo
Hajali hari wala baridi
Usipende kulianzisha
Kwani litaenda mbali
Naam mbali usikokuttegemea