utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Mar 7, 2014 #661 Nawapenda wote Cc #TEAMRAFIKI Attachments 1394140679224.jpg 101.1 KB · Views: 49
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 7, 2014 #662 miss neddy said: hahahahahaha usimwage mtama kwenye kuku wengi bwana Click to expand... poa.. ila nikikukuta kule lazima niku-ninii kidogo!! hahahaaaa!! utakomaje!
miss neddy said: hahahahahaha usimwage mtama kwenye kuku wengi bwana Click to expand... poa.. ila nikikukuta kule lazima niku-ninii kidogo!! hahahaaaa!! utakomaje!
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,931 Reaction score 2,141 Mar 7, 2014 #663 Honey Faith said: Kwa hiyo sie ndo tumejivika ngozi ambayo si yetu ama?maana sijakuelewa vizuri Click to expand... Unawajua walio anzisha hilo kundi?
Honey Faith said: Kwa hiyo sie ndo tumejivika ngozi ambayo si yetu ama?maana sijakuelewa vizuri Click to expand... Unawajua walio anzisha hilo kundi?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Mar 7, 2014 #664 Mods hamisheni huu uzi chit chat.
Juma WALEO JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 204 Reaction score 40 Mar 7, 2014 #665 Unajiungaje? Maana naona kila mtu anaonyesha ujuaji wake badala ya kuzungumzia hii team ila nasi tujue
Unajiungaje? Maana naona kila mtu anaonyesha ujuaji wake badala ya kuzungumzia hii team ila nasi tujue
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,821 Reaction score 3,618 Mar 7, 2014 #666 #teamrafiki mpo??
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Mar 7, 2014 #667 Juma WALEO...hebu isome tena thread pale juu Juma WALEO said: Unajiungaje? Maana naona kila mtu anaonyesha ujuaji wake badala ya kuzungumzia hii team ila nasi tujue Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Juma WALEO...hebu isome tena thread pale juu Juma WALEO said: Unajiungaje? Maana naona kila mtu anaonyesha ujuaji wake badala ya kuzungumzia hii team ila nasi tujue Click to expand...
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,215 Mar 7, 2014 #668 #teamRafiki iko kimaadili zaidi..hata wewe tunakukaribisha DZUDZUKU said: Ntuzu [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamRafiki]#teamRafiki [/URL] imetangazwa leo=imeanzishwa leo. Hakuna pesa chafu dunia hii, peleka kuku kanisani, baadae atapigwa mnada/atabadilishwa kuwa pesa. Na ukizicheki zina picha za ajabu ajabu lakini tunazitumia, hamtaki ufadhili mna maana gani? Rafiki jina, matendo mke. Click to expand...
#teamRafiki iko kimaadili zaidi..hata wewe tunakukaribisha DZUDZUKU said: Ntuzu [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=teamRafiki]#teamRafiki [/URL] imetangazwa leo=imeanzishwa leo. Hakuna pesa chafu dunia hii, peleka kuku kanisani, baadae atapigwa mnada/atabadilishwa kuwa pesa. Na ukizicheki zina picha za ajabu ajabu lakini tunazitumia, hamtaki ufadhili mna maana gani? Rafiki jina, matendo mke. Click to expand...
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,024 Mar 7, 2014 #669 Excel said: ahaaaa!!!.... this team! bado una element za ulikotoka! mwekundu njoo uone hii tungo!!! sio ya kawaida aisee!!! Click to expand... hao utawajua kwa matendo yao wako tem gani
Excel said: ahaaaa!!!.... this team! bado una element za ulikotoka! mwekundu njoo uone hii tungo!!! sio ya kawaida aisee!!! Click to expand... hao utawajua kwa matendo yao wako tem gani
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 7, 2014 #670 utafiti said: Me nafasi zangu nishamaliza kwa familia yangu kukucd na miss chagga Click to expand... baba shikamoo
utafiti said: Me nafasi zangu nishamaliza kwa familia yangu kukucd na miss chagga Click to expand... baba shikamoo
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Mar 7, 2014 #671 miss chagga said: baba shikamoo Click to expand... Marahaba mwanangu mpendwa. Umeamkaje?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 7, 2014 #672 utafiti said: Marahaba mwanangu mpendwa. Umeamkaje? Click to expand... nimeamka vizuri baba yangu
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,329 Reaction score 17,855 Mar 7, 2014 #673 Eiyer said: Asante sana mkuu Ila tupo busy sana wakati huu mimi na paroko mwenzangu Kaizer si unajua Kwaresma imeanza? Mtuvumilie kidogo! Click to expand... kweli baba Paroko Eiyer...Kwaresma sio mchezo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Eiyer said: Asante sana mkuu Ila tupo busy sana wakati huu mimi na paroko mwenzangu Kaizer si unajua Kwaresma imeanza? Mtuvumilie kidogo! Click to expand... kweli baba Paroko Eiyer...Kwaresma sio mchezo
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 7, 2014 #674 najiungaje na teamrafiki? naahidi nitakuwa rafiki mzuri
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 7, 2014 #675 kadi zikiisha usitushitaki halafu hatutaki mabazazi na wewe unaonekana ni bazazi Excel said: sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel.. Click to expand...
kadi zikiisha usitushitaki halafu hatutaki mabazazi na wewe unaonekana ni bazazi Excel said: sitaki kuingia kichwa kichwa unajua...! nipeni miaka mitano ya kujiandaa! ila kadi yangu iwepo maaaaaalum kwa ajili ya mfalme excel.. Click to expand...
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 7, 2014 #676 tupo tumejaa tele kama pishi la mchele wakaribishwa kwa sanaaaaa atug said: #teamrafiki mpo?? Click to expand...
tupo tumejaa tele kama pishi la mchele wakaribishwa kwa sanaaaaa atug said: #teamrafiki mpo?? Click to expand...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 7, 2014 #677 Lady niece said: kadi zikiisha usitushitaki halafu hatutaki mabazazi na wewe unaonekana ni bazazi Click to expand... huo sasa umbea.... ubabzazi unaonekana machoni? kuongea vizuri ndo ubazazi?
Lady niece said: kadi zikiisha usitushitaki halafu hatutaki mabazazi na wewe unaonekana ni bazazi Click to expand... huo sasa umbea.... ubabzazi unaonekana machoni? kuongea vizuri ndo ubazazi?
Lady niece JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 953 Reaction score 414 Mar 7, 2014 #678 silence death Excel said: huo sasa umbea.... ubabzazi unaonekana machoni? kuongea vizuri ndo ubazazi? Click to expand...
silence death Excel said: huo sasa umbea.... ubabzazi unaonekana machoni? kuongea vizuri ndo ubazazi? Click to expand...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Mar 7, 2014 #679 Lady niece said: silence death Click to expand... nimekuuliza swali.. usiongee vitu kwa kusikia.. sawa? we si umenifaham juzi tu? sasa experience yangu umeijulia wapi?
Lady niece said: silence death Click to expand... nimekuuliza swali.. usiongee vitu kwa kusikia.. sawa? we si umenifaham juzi tu? sasa experience yangu umeijulia wapi?
Ntuzu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 17,418 Reaction score 10,877 Mar 7, 2014 #680 Excel said: nimekuuliza swali.. usiongee vitu kwa kusikia.. sawa? we si umenifaham juzi tu? sasa experience yangu umeijulia wapi? Click to expand... RED CARD KWAKO Excel Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Excel said: nimekuuliza swali.. usiongee vitu kwa kusikia.. sawa? we si umenifaham juzi tu? sasa experience yangu umeijulia wapi? Click to expand... RED CARD KWAKO Excel