Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

special for you rafiki
images

wow!!!!! nice dreams charminglady!!!
 
Last edited by a moderator:
Unajua Excel sisi tumeapa kuilinda na kuitumikia jamhuri yetu na kuongeza upendo na urafiki wa wote, hatuna niambaya kwa yeyote

sasa mbona upendo wenu umekaa ki-mogadishu na kisomalia zaidi? Ntuzu ni nani kundini aisee!!!

mbona ananitishia kunisulubisha mabwepande?????????? aisee mchukulieni hatua huyu jamaaa!!!

qulaleki....!!
 
Last edited by a moderator:
labda nimsaidie tu mkuu Mr Rocky naona atakuwa busy taarifa za kiintelijisia zinaonyesha kwamba honeyfaith una tabia nzuri ambazo zinaendana na maadili ya #teamrafiki so kwa kuwa umekidhi vigezo na sisi lengo letu ni kudumisha urafiki wetu so umekubaliwa na umepewa every acces ya kuwa mwanachama halala wa #teamrafiki so tafadhali ingia kwenye chama kadi yako itakufuata hukohuko.

Waoooh thanks jamani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom