VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,145
- 12,745
Ebu tutajie hayo maswali yaliyokutoa mchezoni ni yapiSasa nikasema ket switch to swahili jamaa akasema I don't understand
Ebu tutajie hayo maswali yaliyokutoa mchezoni ni yapiSasa nikasema ket switch to swahili jamaa akasema I don't understand
Kumbe upo nae humu basi malizaneni kibingwa tuFaza ni wewe kabisa jua nn mzee haya maisha tuu one day yes.
Huku unaongea kiswahili vzr ila mule ndani mwanangu unakaza kweli we jamaa wewe 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Maswali ya taaluma yangu nimejibu poa kabisa na nina uhakika mi ndo narudi pale ila sasa kuna mambo anazunguka sana mpaka unashangaa huku kote wapi jamaaa...So hapo ishu sio lugha. Ishu ni huna shule.
Kazi nyingi hazihitaji kingereza kingi cha kuongea zaidi ya competent kwenye taaluma yako
Ahahahaha my back ground is now there is wall and chair...Tell me your background
No sio Mimi. Ila like two weeks ago Kuna madogo nilikuwa nawainterview kwenye program moja. Ni fresh gradutes wa degree ya kwanza. Asee Kuna mabinti wawili nikawaambia tu waongee kiswahili. Maana ilikuwa too much lugha iliwatetemesha kinoma. Kwahiyo nakuelewa mdogo wanguFaza ni wewe kabisa jua nn mzee haya maisha tuu one day yes.
Huku unaongea kiswahili vzr ila mule ndani mwanangu unakaza kweli we jamaa wewe 🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Maswali ya taaluma yangu nimejibu poa kabisa na nina uhakika mi ndo narudi pale ila sasa kuna mambo anazunguka sana mpaka unashangaa huku kote wapi jamaaa...
🙌🙌🙌🔥🔥🔥🙏
Nayaweka yote humu mkuu ngoja tuu leo mpaka kieleweke ila kuna swali linasema mambo ya explore of your salary to related environmentalEbu tutajie hayo maswali yaliyokutoa mchezoni ni yapi
I don't have.Tell me your background
Jamaa yupo humu daaah huyu jamaa jau sanaKumbe upo nae humu basi malizaneni kibingwa tu
Kwahiyo shemeji badaa ya kunifundisha ngeli ukaamua kuni downloadisha app ya kubet na kupotea!? Sio sawa shem lake!😧Umenikumbusha mbali kidogo.
Mwaka 2021 nilifanya interview Mikochen kazi ya Key Account Manager. Interview ilikuwa poa. maswal unakuta kwa Laptop, na unajibu kwa kutype. yaan haikuwa oral interview.
Kwahiyo walikuwa wanapima speed , Lugha na Uelewa.
tukapata ile kaz washkaj wawil.
Sasa Siku tunaenda kuanza kaz. Anayetupa training kwanza ni Mwenye kampun mwenyewe na ni mGerman. Kiswahili anajidai hajui 🤣🤣🤣🤣. Ni English tu.
Alaf ofisin kwake ndio na sehem na sisi kuna meza na viti vyetu. Kwahiyo pale room ni watu watatu tu . Na kuna watu wanareport kwetu alaf sisi tunareport kwake Direct 🤣🤣🤣🤣. Department nyingne ziko ground floor na wengne vyumba vingne vya juu.
😂😂😂😂 miaka miwili nilipiga pald. All in all imenisaidia sana kukuza confidence ya kuongea ngeli.
Poor Brain changamoto kama hizo ndio zinakujenga uwe bora zaid.
Umeanza nitisha hapa daaah 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏 huyu jamaa ana hatare sana ni kweli lugha changamoto ila mtu kama mimi niulize basic ya kazi yangu najibu short and clear lakini ukija mambo ya how you can.... Mambo ya communication na wenzako mambo ya team work khaaaaNo sio Mimi. Ila like two weeks ago Kuna madogo nilikuwa nawainterview kwenye program moja. Ni fresh gradutes wa degree ya kwanza. Asee Kuna mabinti wawili nikawaambia tu waongee kiswahili. Maana ilikuwa too much lugha iliwatetemesha kinoma. Kwahiyo nakuelewa mdogo wangu
Ahahahaha wewe watakufukuza mda huo huo 😂😂😂😂I don't have.
Kwa hio ndio background ikaishia hapo sio poaAhahahaha my back ground is now there is wall and chair...
Jamaa akasema umesema umesoma dodoma miaka minne kijana
Kwa hio unataka umpangie interviewer cha kukuuliza?Umeanza nitisha hapa daaah 🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏 huyu jamaa ana hatare sana ni kweli lugha changamoto ila mtu kama mimi niulize basic ya kazi yangu najibu short and clear lakini ukija mambo ya how you can.... Mambo ya communication na wenzako mambo ya team work khaaaa
Maana niliokutana nao nawajua tumesoma chuo kimoja..Unarudi pale😄😄 kwamba wengine uliona wakijibu?
Are you sure? You don't back ground?I don't have.
Wakasema unawezaje kupitisha sofa kwenye mlango mdogoKwa hio ndio background ikaishia hapo sio poa
Maana niliokutana nao nawajua tumesoma chuo kimoja..
Yale maswali yanamtaka mtu akiyekua ana practice vile vtu daily sasa..
Jamaa aliyetoka amepoa sana mpaka nikashangaaa..
Kuna maswali hadi ya vitendo .mfano pitisha sofa kwenye mlango mdogo...
Pitisha nini sofa kwenye mlango mdogo hio umefanya translation unauhakika alikuuliza hivyo?Maana niliokutana nao nawajua tumesoma chuo kimoja..
Yale maswali yanamtaka mtu akiyekua ana practice vile vtu daily sasa..
Jamaa aliyetoka amepoa sana mpaka nikashangaaa..
Kuna maswali hadi ya vitendo .mfano pitisha sofa kwenye mlango mdogo...
Hio kazi ni ya ufundi selemala?Wakasema unawezaje kupitisha sofa kwenye mlango mdogo