Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,402
- 54,845
- Thread starter
- #61
Daaah jamaa mwishoni akasema wasalimie kwenyu πππππππInterview usiziwekee Sana tumaini. Zitakuumiza
Daaah jamaa mwishoni akasema wasalimie kwenyu πππππππInterview usiziwekee Sana tumaini. Zitakuumiza
Wewe unaona mimi sielewi ila.ndo hivo na anakuambia pitisha hapo unainuka unapitisha..Pitisha nini sofa kwenye mlango mdogo hio umefanya translation unauhakika alikuuliza hivyo?
Hapana kakaHio kazi ni ya ufundi selemala?
Kwahiyo shemeji badaa ya kunifundisha ngeli ukaamua kuni downloadisha app ya kubet na kupotea!? Sio sawa shem lake!π§
Daaaah aiseee hayo kweli ni maswali ya kutaka tupigane aiseeeMaswali ya kowaki kwenye interview.
1. What is your weakness?
2. Tell me about a time you failed.
3. Where do you see yourself in 5 yrs
4. Why should we hire you
Fanya kweli shemelaπ₯°π₯°Shemela ngeli Ya kuandika inatosha. ππππ.
Ile ya kuongea inachosha aisee.
Alaf Mostly kazi nying unatuma mail kwa kingereza alaf mnawasiliana oral au simu kwa kiswahili.
Bana bana. Mikeka imechanika .Aaagh balaa sana.
Ngoja weekend tena nikitumiwa code na jamaa ntakushtua.
Alaf kuhusu Abaya nakumbuka pia πππ.
Jombaa wacha hizo basi aiseeHukumkazia macho au ulikua unaangalia chini?
Umenichesha sana MazeeAhahahaha my back ground is now there is wall and chair...
Jamaa akasema umesema umesoma dodoma miaka minne kijana
Wabongo tunazani tunajua kimombo. Kumbe kunakujua kimombo na kunakuzani unajuaMdg wangu bila kujifunza ngeli kwa dunia hii ni ngumu,, kaka yako nipo kuboresha kimombo kupitia Duolingo na chatgpt plus kusikiza podcast za kimombo,
π€£π€£πππ€£Pitisha nini sofa kwenye mlango mdogo hio umefanya translation unauhakika alikuuliza hivyo?
Umenikumbusha miaka ya nyuma nipo kijiweni, kunajamaa jamaa nilikuta anawapa washikaji stori ya Obama na Jay Z.Pitisha nini sofa kwenye mlango mdogo hio umefanya translation unauhakika alikuuliza hivyo?
Hahaha umenichekecha mbavu mkuu hahahaUmenikumbusha miaka ya nyuma nipo kijiweni, kunajamaa jamaa nilikuta anawapa washikaji stori ya Obama na Jay Z.
Obama alimwambia Jay Z "break a leg.." Jamaa akawatafsiria kuwa usicheze na mimi nitakuvunja mguu.
Nilicheka sana
Hahahahaha hatare sanaWabongo tunazani tunajua kimombo. Kumbe kunakujua kimombo na kunakuzani unajua