Interview za kiwaki sana

Interview za kiwaki sana

Daaah ndgu acha kabisa pipo zipo seriously sijajua lengo lao nn maana huku nje tunapiga story vzr ila mule ndani jamaa alibadilika an alivoanza kujitambulisha tuu nikajua leo cha kike
Umenikumbusha mbali kidogo.
Mwaka 2021 nilifanya interview Mikochen kazi ya Key Account Manager. Interview ilikuwa poa. maswal unakuta kwa Laptop, na unajibu kwa kutype. yaan haikuwa oral interview.

Kwahiyo walikuwa wanapima speed , Lugha na Uelewa.

tukapata ile kaz washkaj wawil.

Sasa Siku tunaenda kuanza kaz. Anayetupa training kwanza ni Mwenye kampun mwenyewe na ni mGerman. Kiswahili anajidai hajui 🤣🤣🤣🤣. Ni English tu.

Alaf ofisin kwake ndio na sehem na sisi kuna meza na viti vyetu. Kwahiyo pale room ni watu watatu tu . Na kuna watu wanareport kwetu alaf sisi tunareport kwake Direct 🤣🤣🤣🤣. Department nyingne ziko ground floor na wengne vyumba vingne vya juu.

😂😂😂😂 miaka miwili nilipiga pald. All in all imenisaidia sana kukuza confidence ya kuongea ngeli.

Poor Brain changamoto kama hizo ndio zinakujenga uwe bora zaid.
 
Ukishajiamini kingereza hakisumbui kama umefika level ya Degree.

Ongea hata kama ni Broken utashangaa kinashuka tuu.
Lakini ukitaka kuongea usikosee ndio utakosea mpaka ukome
Very true, na ukijua haujui basi usiongee sana unaweza ukahama reli ukajikuta unaanza kumix madesa unachanganya kiswakinge mpaka wanakuuliza kwani unaongea nini?
 
Umenikumbusha mbali kidogo.
Mwaka 2021 nilifanya interview Mikochen kazi ya Key Account Manager. Interview ilikuwa poa. maswal unakuta kwa Laptop, na unajibu kwa kutype. yaan haikuwa oral interview.

Kwahiyo walikuwa wanapima speed , Lugha na Uelewa.

tukapata ile kaz washkaj wawil.

Sasa Siku tunaenda kuanza kaz. Anayetupa training kwanza ni Mwenye kampun mwenyewe na ni mGerman. Kiswahili anajidai hajui 🤣🤣🤣🤣. Ni English tu.

Alaf ofisin kwake ndio na sehem na sisi kuna meza na viti vyetu. Kwahiyo pale room ni watu watatu tu . Na kuna watu wanareport kwetu alaf sisi tunareport kwake Direct 🤣🤣🤣🤣. Department nyingne ziko ground floor na wengne vyumba vingne vya juu.

😂😂😂😂 miaka miwili nilipiga pald. All in all imenisaidia sana kukuza confidence ya kuongea ngeli.

Poor Brain changamoto kama hizo ndio zinakujenga uwe bora zaid.
Mkuu acha kabisa acha an daaah leo cha kike jamaa alivo maliza kujitambulisha tuu baada ya hapo sikuelewa kitu dadek.. 😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom