Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Wyatt Mathewson ,

Sir, if you are not among them then, count yourselves as a less privileged person.

Period.


That mentality is what I hate about them....

They think they are,but I think they are not that much privileged........Its an illusion they are riding on,they are so average left and right just like you and me....
 
Wadau
Kumekuwa ni minong'ono mingi sana na fununu juu ya nafasi ya TISS na kazi zao.
Nakumbuka kabisa kuna watu huwa wanafanya mambo ya kipuuzi na kijitanabisha kama TISS.Binafsi sijawahi kutana na mtu wa TISS moja kwa moja lakini kwa wale ambao nimewahi kuhisi kuwa ni watu wa TISS kuna mambo fulani ambayo nimejifunza toka kwao:

  • Huwa ni watu watulivu wasio na makeke mengi
  • Huwa sio wasemaji sana ni watazamaji na wasikilizaji
  • Huwa sio watu wa kujikweza na huwa wanajua wanachokitafuta na mara nyingi kwao hutafuta vile visivykuwapo
  • Sio washabiki wa mambo na mara nyingi hanaga opinions
  • Kazi yao kubwa naonaga ni kutambua tishio na kulithibiti kabla ya madhara
Kumekuwa na tabia hapa nchini ya watu kuhusisha upuuzi wa kisiasa na maswala ya Jinai kama vile tukio la kushambuliwa kwa mheshimiwa LISU na watu wa Usalama.Sisemi kwamba sio wao ila kama ni wao nafikiri that was too low of them.

Niulize tu kwa wale wanojua kwa hakika hii Idara ya Usalama wa Taifa ni askari Binafsi wa Rais au ni Intelligence Officers kama ninavyoelewa mimi na ambao huwa hawana maslahi binafsi bali huwa na maslahi mapana ya Nchi?

Nikipata Jibu kabla ya Mwaka kuisha ITAPENDEZA ZAIDI
je wale waliovamia clouds?
 
Wyatt Mathewson ,

Mkuu,.
Its OK.
Japo, ukiamini au you don't believe but, still the principles remains the same and strong.


Zina-remain the same kwa upande wao,ni sawa...tatizo ni tofauti ya reactions watakazopata kutoka kwa asieamini kua tofauti na anaewaamini....Hapo ndio mtihani unapoanzia..

Ila all is well.
 
Kama ujajibiwa hivi nakujibu. Nikuwa nakushauri urejee sheria iliyotungwa na kupitishwa na Bunge juu ya uwanzishwaji wa hicho 'kitengo'!
 
Ahsante ndugu,unitafute wapi?kama una swali uliza hapa nami nitakujibu,hatuwezi kukutana hata iwe vipi,uwe na jumamosi njema[emoji1317]
hahaaa mkuu hutaki kutafutwa...anataka akutafute iliiwe nini kama anatka kujua zaidi kuhusu hao TISSA CJUI KUMMI..aende kijitonyama pale atapewa info zote ..
 
Mkuu nimekustukia unataka utukamate hunipati hapa maana nikidakwa leo kutoka mwakani,ukinikamata nakuroga maana unatuletea herufi TISSA sijui TISS hunipati
Sifa zingine ni Ujuha tu na Ujinga, Kujifanya Miongoni wa watu wa system, We jamaa Kuna nyuzi kibao humu za Intelligence na Umewah kujadili kwanini unavuruga uzi kwa kutafuta sifa!?
 
Jaribu kuwa serious inamaana content yote hiyo ya mleta mada amejieleza kuhusu intelijensia,usalama wa Taifa nk hujaelewa? Umesoma level gani wewe ushindwe kutofautisha TISS Tanzania intelligence and security services na Tanzania interbank yako ya biashara.
Mleta mada yuko sahihi na hilo neno sio geni hasa kwa mtu unaepita mitandaoni ndio neno hutumiwa.
Alitaka tujue kwamba amesoma uhasibu. Ni kweli hiyo tiss iko kwenye hizo transfer za pesa kwa makampuni na mabenki, lakini kwa maelezo yote ya mtoa mada sijajua huyu jamaa nini shida yake. Watu wengine wanafikiri watu waliomo humu ni low level kama wao.
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
Namfahamu mshkaji ambae alikuwa "kichwa" class na mwishowe alifeli. Baadae ikaja kujulikana kuwa kufeli kwake kumesababishwa na kujua sana!
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
pamoja na upinzani
 
Wanajichanganya!!! Kwa maana hiyo hata humu jf wapo na penginepo baadhi yao ni sehumu ya kututukana na kutukashifu humu.
Humu wamo si swala la kujiuliza kwa sababu hili ni jukwaa huru kwa kila mtu. Ila hilo la kutukana na kukashifu kama lipo, litakua ni mtu binafsi kama ambavyo wewe unaweza kutukana au kukashifu.
 
Back
Top Bottom