Comment yako ya kwanza uliongea vizuri lakini hii umeharibu,kama hujui kitu ni bora kukaa kimya,kWa kukusaidia...,wale walinzi wavaa suti ni usalama Wa taifa kabisa na wanaweza kufanya kazi yoyote sema uwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo,inakuwaga hivi,watu wanaenda kwenye mafunzo na wakishamaliza humo ndani ndo uchaguliwa,kundi la kwanza ni WALINZI,kundi la pili ni WAPELELEZI,hawa wote wamepitia mafunzo yote,sana sana wakishachaguliwa kama kWa mfano WALINZI kuna vikozi wanasomea tena kabla ya kuanza kazi,kwahiyo mpelelezi pia anaweza kufanya kazi ya ulinzi maana anajua kila kitu na hivyo hivyo pia mlinzi anaweza fanya kazi ya upelelezi,wanachaguliwaga na viongozi kutokana na mafunzo na kuna watu wanawafatilia na wanaangalia watu watakao wafaa,so siku nyIngine kama hujui kitu ni bora unyamaze.....,na wale wengine wenye magwanda Kama ya jeshi lakini siyo ya jeshi wengi wanakuwaga washamaliza mafunzo lakini bado wanatestiwa au naweza sema bado hawajapangiwa vituo aisee,kWa mfano pale kijitonyama,kuna walinzi mlangoni ambao wanavaa hivyo na ukiingia kushoto kuna kaofisi kakuajiandikisha jina na vitu vingine,wale walinzi uwa wanalala mle mle ndani maana kuna hostels tangu miaka ya 70