Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

Ndugu kwanza kabisa napenda nikwambie uko sawa na hauko sawa.INTELLIGENCE DUNIANI kote ni Strategic na sio random.Intelligence sio Jeshi la Polisi wala Sio mahakama na wala sio Jeshi la Ulinzi.Intelligence ni Strategic unit.Ndio maana ktk maelezo nimesisitiza swali Je hawa ni walinzi binafsi wa Rais kwa sbb kazi kubwa ya intelijensia ni kukusanya taarifa,kutambua tishio na kulizuia.
Nachukia pale watu wa intligence wanapohusishwa na mambo ya kihuni kama kutishia watu,kuteka na kujaribu kuua na hata kuua.Intelijensia haihitaji front page kwenye magazeti.Ndio maana wataalamu wa haya mambo husema kuwa Spies are people who walk at sidelines of history,not to be honoured or remembered.

Kama TISS wakiwa ni walinzi binafsi wa Mkuu wa nchi kuna hatari hasa kutokana na ukweli kwamba Rais mwenyewe aweza kuwa na Tishio hapo ndio kama taifa tunaona umuhimu wa kuwa na Taasisi huru ya Usalama wa Taifa ambayo haina maslahi ya kisiasa wala kiuchumi
MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
 
MKUU KUHUSU PSU BADO SIJAFAHAMU WANAFANYAJE KAZI UPANDE WA PILI NA AMRI NI NANI ANAYETOA.

ILA NINACHOJUA NDANI YA KIKOSI MAALUMU KIPO CHINI OFISI YA RAISI LAKINI WALE WANAOMLINDA RAISI NI ASKARI TOKA JESHINI.

NA NDIO KILE KIKOSI KINACHOMTII RAISI
Sawa Ni kweli wanaweza kuwa Wanatoka jeshini mana jeshi napo kuna watu wa Kitengo lakini Unit nzima inasimamiwa na Kitengo na Coordination na Clearance Ya maeneo mbalimbali Inaweza Kuuhusisha Majeshi mengine ila Boss Wa Security ya Rais na Anaetoa Command ni From kitengo, Wana course zao special za VIP protection Training
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
Afafanue...
 
MKUU KUHUSU PSU BADO SIJAFAHAMU WANAFANYAJE KAZI UPANDE WA PILI NA AMRI NI NANI ANAYETOA.

ILA NINACHOJUA NDANI YA KIKOSI MAALUMU KIPO CHINI OFISI YA RAISI LAKINI WALE WANAOMLINDA RAISI NI ASKARI TOKA JESHINI.

NA NDIO KILE KIKOSI KINACHOMTII RAISI
TISS ni taasisi kama zilivyo taasis nyingine nikupe mfano tu mdgo ndani ya jeshi LA police kuna idara kama zifuatazo
1.police traffic
2.police Cid
3.police field force FFU
4.police GD
5.police intelligence do not confuse with Cid.
Kwa mfano huo TISS nayo inaidara zake ndani hata recruitment zake ni tofauti idara moja na nyingine mfano utakuta kuja idara
1.Presidential security unit PSU maalum kulinda viongoz wakuu wa nchi
2.kuna usalma wa taifa kitengo cha maswala ya uchumi wa nchi
3.usalam kitengo cha maswala ya kuzuia uharifu wa kimitandao
Kwa hyo PSU ni kitengo ndani ya TISS wakuu wa idara wote wanaripot kwa mkurugenzi mkuu anayeitwa Dr kipilimba
 
MKUU NAPENDA KUKUFAHAMISHA YA KWAMBA KUNA MAMBO YA KUZUNGUMZA ON PUBLIC NA MENGINE INABIDI UNYAMAZE YASIJE YAKAKUWEKA MAHALA PABAYA

ILA UNACHOTAKIWA UFAHAMU SERIKALI INA SIRI NZITO SANA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUWEZI KUFAHAMU.....

KUNA WATU TUMEKULA VIAPO VYA KULINDA NA KUTUNZA SIRI ZOTE ZA KISERIKALI HIVYO VITU VINGINE TUKISEMA TUHOJI SANA TUTAJIKUTA TUPO SEHEMU AMBAYO SIO KABISA
Uko sawa kabisa mimi sina siri wala sina kiapo,mimi nimehoji katika misingi ya uzalendo na ukweli kwamba kama mwananchi naamini kwamba sio sawa kwa TISS kuhusishwa na matukio ya kihuni na ni dalili mbaya kama TISS ambao wana wajibu wa ku neutralize mambo watahusishwa na maswala ambayo kimsingi yanashusha hadhi na heshima ya Taasisi

Over
 
Mkuu kuna neno sijalifahamu hapo umeandika TISS inamaanisha nini? kwenye mada husika? mi nimesoma uhasibu kuna fomu maalumu ya kusafirisha hundi kwenye makampuni kutoka kwenye taasisi ya biashara hiyo inaitwa TISS naona umechanganya madawa hapo mkuu
TISS..

1. Tanzania intellegence and security service.

2. Tanzania inter-bank settlement system.

Mleta mada alilenga hiyo no.1...

Wewe yale maelezo uliona yana-relate na banking ? [emoji41]
 
Jaribu kuwa serious inamaana content yote hiyo ya mleta mada amejieleza kuhusu intelijensia,usalama wa Taifa nk hujaelewa? Umesoma level gani wewe ushindwe kutofautisha TISS Tanzania intelligence and security services na Tanzania interbank yako ya biashara.
Mleta mada yuko sahihi na hilo neno sio geni hasa kwa mtu unaepita mitandaoni ndio neno hutumiwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe JF nzima tunajua huyu ni nzi yupo kwa kazi maalum hapa
 
NATAKA KUKUMBUSHA PIA WALE WANAOMLINDA RAISI AU WALINZI WA RAISI WALE SIO USALAMA WA TAIFA .

KILE KINAITWA NI KIKOSI MAALUMU CHA KUMLINDA RAISI NA OFISI YA RAISI WALE WOTE UNAOWAONA WAMEVAA SUTI WENGINE UNIFORM ZA KAKI WALE WOTE NI WANAJESHI AMBAO NDIO KIKOSI MAALUMU LAKINI SIO USALAMA WA TAIFA.
Ulianza vizuri ila kwenye kumalizia unataka kuvuruga,kikosi cha ulinzi wa rais(presidential protection unit PPU),ni kitengo kilicho ndani/chini ya TISS,na sio wanajeshi,na wengine wanavaa nguo kama za JWTZ ila zao ziko tofauti,mtaani wanaitwa MAKIRIKIRI,hawa ukipita ikulu utawaona nje na ndani ya ukuta wa ikulu,wote lengo ni kumlinda rais
Na wengi wao wanakaa/kuishi kijitonyama
 
suala lako zuri sana
Marekani kuna kitengo FBI hichi kina fanya kazi na maslahi ya ndani ya nchi hakichukuai amri kutoka serikalini au kwa Raisi

Hawa ndio walomtoa Richard Nixon

CIA ni uslama wa taifa kwa nchi zanje na kipo na Raisi wa nchi
but umeulizwa TISS..!
 
Mkuu tunajua unajua Sana ila kama hutaki kuchangia Point basi kaa kimya tu kuliko kuvuruga uzi ,Wacha nasie tusiojua kitu tuambulie Walau mana nyie wanausalama mbao mnavuruga nyuzi

Mkuu tafadhali usinipe kazi nisiyo nayo je wakija kunikamata wenyewe je utanitetea?
 
Inawezekana mada yangu ikawa ama nimeiweka vibaya au haijaeleweka.Binafsi pamoja na weledi wa maafisa wa TISS bado nafikiri kuna haja sana ya kuwa na TISS ambayo ni autonomous.Na hili nimeliona kama tatizo hata mpaka kwenye ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali sioni autonomy ya hizi units

Nafikiri tunaweza kuanza 2018 kwa kushughulika na haya mambo
 
KABLA YA YOTE UNATAKIWA UFAHAMU NI NINI MAANA YA USALAMA WA TAIFA.....

USALAMA WA TAIFA NI TASISI AMBAYO INASIMAMIA MFUMO WA KUILINDA SERIKALI NA NCHI DHIDI YA MACHAFUKO YA KISIASA, KIDINI,UKABILA,KIJESHI NA KIGAIDI.

NA KAZI KUBWA YA USALAMA WA TAIFA NI KUDHIBITI MATUKIO AMBAYO YANAYOWEZA KULIPELEKA TAIFA KATIKA MACHAFUKO AU MAPINDUZI.......

IDARA YA USALAMA WA TAIFA INAFANYA KAZI KUBWA YA KUKUSANYA NA KUUTAFUTA TAARIFA ZA KIINTELIGENSIA KISHA KUWA SUBMITTED OFISI YA RAISI NA UTAWALA BORA.

IDARA YA USALAMA WA TAIFA NI IDARA AMBAYO IPO CHINI OFISI YA RAISI AMBAYO INAFANYA KAZI PAMOJA NA

1.VIONGOZI WA DINI.

2.WANASIASA WA UPINZANI NA CHAMA TAWALA.

3.WAFANYA BIASHARA.

4.WATUMISHI WA UMMA

5.WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI.

6.VIONGOZI WA KIMILA.
AU WA KIJADI.

7.VIONGOZI WA KISERIKALI.

8.NA WATU WA KAWAIDA

SASA KINACHOFANYIKA NI KWAMBA KUNA WATU WANAPEWA MAFUNZO VIZULI NA TAASISI WAKISHAMALIZA NDIO WANATUPWA AU WANAPELEKWA KUFANYA KAZI KATIKA.

TAASISI ZA UMMA,

TAASISI ZA KIDINI,

VYAMA VYA KISIASA.

WENGINE UNAWAKUTA NI WAFANYA BIASHARA.

WENGINE WANABAKIA WATU WA KAWAIDA MTAANI.

WENGINE WANAKUWA NA WANA MICHEZO NA WENGINE WANAMUZIKI

KINACHOFANYIKA WAO WANAJICHANGANYA NA WATU WA KAWAIDA TUU NA WANAFANYA KAZI NA NYINYI ILA WAO WANAKUWA NA LENGO LAO MAALUMU LAKINI NYINYI HAMUWEZI KUFAHAMU COZ MNAJIONA WOTE SAWA.
Hiyo idara nowdays imejaa waganga na wachawi
 
Back
Top Bottom