Kwa hyo aboveground wote wameshindwa au?
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.