Ngoma zilizotamba zaidi 2023

Realboynicky

Senior Member
Mar 31, 2023
134
230
Hii inamaanisha ngoma zilizopigwa zaidi kwenye events, night pubs tiktok na sherehe mbalimbali.

5. Ameyatimba
Whozu ft Billnas

4. Sele
Mbosso

3. Shu
Diamond Platnumz

2. Enjoy
Jux ft Diamond Platnumz

1. Tajiri (original & remix)
Lava lava.

Hii ndio nyimbo inayoongoza kwa kutumika zaidi sehemu mbalimbali. Ma dj wameutumia sana huu wimbo kwenye pubs,maharusi na masherehe mbalimbali. Lakini pia ndio wimbo unaoongoza kufanyiwa challenge kwenye mitandao ya kijamii.

Hongera Mr lovebite.
 
Back
Top Bottom