Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,117
2,000
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Angalau umesema kweli kwamba kwa sasa hakuna mshindani wake mpaka aje mwingine
 

kaburungu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
2,323
2,000
Hotel ghost ni series ya kikorea Wala sio movie hata hiyo Mastermind ni series ya kichina Wala sio movie
Movie /movies, also known as films, are a type of visual communication which uses moving pictures and sound to tell stories or teach people something. People in every part of the world watch movies as a type of entertainment, a way to have fun. For some people, fun movies can mean movies that make them laugh, while for others it can mean movies that make them cry, or feel afraid

Sijaelewa unaposema hii si movie ni series na ile ni series sio muvi.
 

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
3,892
2,000
Tena sio mileage ndogo ingawaje kuna watu watajifanya hawalioni kabisa hili, na usishangae ukakuta watu wenyewe hata huyo Innos'B walikuwa hawamfahamu hapo kabla!
Aisee! Jamaa kapata bonge LA promo maana hizo views si mchezo. Sasa huyu Innos ' B asilale. Achangamke kutoa kazi Kali zaidi.
 

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,041
2,000
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Kìba vìpi?
 

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
9,655
2,000
Diamond inabidi tumheshimu sana ata kama atafanye kitu kibovu kashaingia kwenye damu ni kama chadema kweye siasa kiufupi yupo kwenye mioyo ya watu.

Wacha apige tu pesa ndio furaha yetu wengine kuona kila mwenye uwezo wa kufanikiwa anafanikiwa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom