Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

Shosti povu nimeshasema sitaki am hater.
Usijali,uzuri wa kitu hauko uko kwa yule anaye ki-experience,penda unachoona kinakupendeza,namimi ngoja nipende kinachonipendeza.
 
Yani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana
Mondi katoa rmx leo...hio ngoma ipo muda ya jamaa wa congo..
Hako ka-mdundo kanatubariki sana kwenye harusi wakati wa kupeleka zawadi
 

Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
 
Back
Top Bottom