Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 725
😀😀😀Kiuno hicho...Yani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana
😀😀😀Kiuno hicho...Yani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana
Wamenunaaaaa!
Kwani umelazimishwaTatizo huwa nyimbo zake hazidumu
#mapovusitakimiehater
Kwani umelazimishwa
Nakwangu pia nazisikiliza nyimbo haziishi utamuNi kwako tu
Haya yamesemwa Miaka Mingi hayatokei huenda baada ya Miaka kadhaa utarudi tena hii hoja ya dogo kupotezwaKiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Nakwangu pia nazisikiliza nyimbo haziishi utamu
Labda niwewe tu ndo hazidumu kwako
Original version nilivyoiona siku ya kwanza nilimkubali sana huyo dogo Innos B , ni mbunifu hadi kasababisha diamond kaomba collabo yani nyimbo kali hadi msanii mkubwa wa TZ ametamani kuwa sehemu ya nyimbo hiyo ikabidi ipigwe remix na kuongezea vipande vya diamond
Hiyo uliyokuwa unasikiliza ni Original VersionYani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana
👊👊👊Mond Bin Laden.View attachment 1200923
Original version nilivyoiona siku ya kwanza nilimkubali sana huyo dogo Innos B , ni mbunifu hadi kasababisha diamond kaomba collabo yani nyimbo kali hadi msanii mkubwa wa TZ ametamani kuwa sehemu ya nyimbo hiyo ikabidi ipigwe remix na kuongezea vipande vya diamond
Una audio yake mkuu ?Yani nilikua najiuliza ni nani ameimba? hapa jirani na kwangu kila siku nakasikia hako kamdundo nabaki kutikisa kiuno tuu kumbe ni mondi aisee katamu sana
Bidada ulipotea sans siku 2 tatu hiziMnampa hasara kijana.
Nae anatamani wimbo wake udumu na kukumbukwa enzi na enzi
Ungekuwa na akili timamu ungeshauri nini kifanyike ili aweze kuwa msanii bora zaidi. Badala yake unaishia kuponda na kuondoka kama mlivyo watanzania wengi. Hilo li roho la wivu na roho mbaya sijui mlilitoa wapi.Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.
Bidada ulipotea sans siku 2 tatu hizi