Innoss'B ft Diamond video, bonge la wimbo

Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Haya yamesemwa Miaka Mingi hayatokei huenda baada ya Miaka kadhaa utarudi tena hii hoja ya dogo kupotezwa
 
Hii nyimbo kali sana Mkuu inatesa sana watu clubs.



Original version nilivyoiona siku ya kwanza nilimkubali sana huyo dogo Innos B , ni mbunifu hadi kasababisha diamond kaomba collabo yani nyimbo kali hadi msanii mkubwa wa TZ ametamani kuwa sehemu ya nyimbo hiyo ikabidi ipigwe remix na kuongezea vipande vya diamond
 
Kiuhalisia Diamond kashapoteza ladha ya mziki yaani kashachuja. Nyimbo zake alizoimba miaka kadhaa iliyopita ndio zilikuwa Ngoma Kali. Akitokea msanii mwenye uwezo mzuri anampoteza diamond kwenye ramani ya mziki. Sahizi ni mda mchache tusubirie atokee msanii underground mwenye nyimbo Kali.
Ungekuwa na akili timamu ungeshauri nini kifanyike ili aweze kuwa msanii bora zaidi. Badala yake unaishia kuponda na kuondoka kama mlivyo watanzania wengi. Hilo li roho la wivu na roho mbaya sijui mlilitoa wapi.
 

Wimbo uko poa unachezeka hakika na mix nzuri sana.

Huu wimbo original umetoka mwezi Mmoja uliopita ila umekaa wiki tatu uka ukiwa na views laki moja tu YouTube.

ila toka imetoka remix ambayo diamond ameingiza vipande vyake humo sasa nyimbo zote mbili yope original toka juzi hadi Leo inaviews 1.7na yope remix ndani ya siku mbili in views 1.5..

Hii maana yk nn ni kwamba diamond ndio kaupaisha huo wimbo na kumpaisha huyo onnos'b ndani ya siku tatu tu.

Inshort wasanii wa east, central na south of Africa wanatakiwa kumuheshimu diamond Sana huyo mtu anawashabiki damu anaweza kukufanya ukashine within a hour tu hii ni hatari...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom