Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,211
- 24,176
Mzizi uzi ulishaletwa toka jana
Vipi mkuu uislamu tunaupeleka wapi?
Mzizi uzi ulishaletwa toka jana
sasa kama mna njaa msaidiwe nini zaidi ya chakula....
Huu ni msiba. Ipo siku tutawapa hawa makafiri mimbari watoe hut'ba ili tupate pesa.
Juzi tumemuita Lowasa na kumvisha kilemba, leo tunapokea misaada.
Huu ni msiba.
Mkuu Mkereketwa_Huyu Hata kama huyo Baba wenu Mdogo alikuwa anakula nguruwe ni kwa ajili yake yeye Mwenyewe Uislam au dini yaMh. waziri MziziMkavu, unajuwa kitu kimoja hapa duniani. Unaweza kukuta watu wanaongea huko uchochoroni kwa hasira mpaka wanatokwa na povu ili tu waonekane na watu kuwa ni wajasiri. Mfano ulio hai, kwetu sie tuna waislam na wakristo ila waislam ndiyo wengi zaidi ndani ya ukoo wetu, kuna watu (waislam) wanakula nguruwe kwetu. Baba yetu mdogo ni muislam wa nguvu, na tulipokuwa wadogo kama watoto wake hawaendi kusali msikitini walikula viboko. Huyu mzee wetu bwana licha ya kelele zake za kulazimisha watu kuwa waislam ndani ya ukoo, alikuwa anakula nguruwe kisirisiri mpaka siku ndugu wakambamba na bakuri lake la kitimoto anafyonza mifupa kwa chapati. Ninachotaka kusema ni kwamba katika misaada wengi husahau kanuni zao za kidini na hupokea misaada ili wajivinjari mateso baadaye, kama yapo kwani dini ni imani tu ya mtu. Utakuta masheikh wanakuambia pombe haramu lakini sheikh huyo huyo anavuta bangi. Sasa jiulize, bangi na pombe ipi kali?
Mkuu Mkereketwa_Huyu Hata kama huyo Baba wenu Mdogo alikuwa anakula nguruwe ni kwa ajili yake yeye Mwenyewe Uislam au dini ya
kiislam itabaki pale pale kuharamisha Nyama ya Nguruwe hata kama Makafiri watachukia na wachukie ukweli wa Mwenyeezi Mungu
utabaki siku zote ni ukweli na Mapenzi ya Mwenyeezi Mungu yatabaki pale pale. Si umeona Rais bush alivyo piga
IRAK,Afghanstan,Libya na sasa nchini Syria lakini dini ya Kiislam ipo pale pale wawepo waislam 1000 wanaokula nyama ya nguruwe
na Wanaozini na wanao kunywa Pombe ,lakini dini ya Kiislam itakuwepo mpaka Mwisho wa dunia hata kama Makafiri watachukia na
wachukie potelea mbali.
Naeza kukwambia kwa kinywa kipana kua dini zimeleta laana, madhila na majanga makubwa ktk sayari hii kuliko pombe/hizi dini ni majanga. wanapinga pombe uku wanapokea misaada inayotegemea pombe.kumbe ata wauza unga mtapokea misaada yao. njaaa kitu kibaya sana. sasa waruhusu waumin wanywe konyagi ili misaada iongezeke.dini zote zipinge aya mambo ni laana hizi.
inamaana ukiwa na duka akaja mteja kununua kitu utamuuliza hela umeitoa wapi?mnapokeaga hadi hela iliyotokana na malipo ya nguruwe eti mnaiacha ya bia?halafu nyie waislam upeo wenu wa kufikiri ni mdogo sana,mmekalia lawama za kijinga tu,kwani mmepewa vyakula na sio pombe,kama hamutaki acheni wehu nyie.
Yani ubongo wao unazidiwa hata na wa sisimizi.inamaana ukiwa na duka akaja mteja kununua kitu utamuuliza hela umeitoa wapi?mnapokeaga hadi hela iliyotokana na malipo ya nguruwe eti mnaiacha ya bia?halafu nyie waislam upeo wenu wa kufikiri ni mdogo sana,mmekalia lawama za kijinga tu,kwani mmepewa vyakula na sio pombe,kama hamutaki acheni wehu nyie.
tunaupeleka kubaya mkuuVipi mkuu uislamu tunaupeleka wapi?
Hahahahaha @Area taratibu mkuu
Abdulhalim dini ya kiislamu haijaleta laana bali imeleta ukombozi na ustaarabu ktk ulimwengu huu.Naeza kukwambia kwa kinywa kipana kua dini zimeleta laana, madhila na majanga makubwa ktk sayari hii kuliko pombe/