Za kuambiwa changanya na zakoHuu ushauri nimeubeba mkuu,nitaufanyia kazi same consequence ikinipata.!!

utumie inapobidiUwiiih'..Nisiwe mnafiki yani kama utakuwa na muonekano flani hivi wa mwanamke ninayemuhitaji basi nitakusamehe mdomoni tu ili iwe rahisi kukupata kwa muda huo ila moyoni siwezi kukusamehe kamwe.
Neno langu sio sheria mkuu ujumbe umefika uwe wewe/yeye
Ningekuwa mimi ningeogopa nini mkuu while here is where we dare to talk openly.!!
😂😂😂😂😂 Oooh' Lord my ribs.!!Jambo muhimu best jamaa akikwambia njoo home kuanzia sasa usiende niamini mimi kaandaa magunia si chini ya 10 kwa ajili yako 😀😀😀😀😀
Nikioa tu ndo namuacha lazima aumie.daaah'..
this is so sad mkuu.!!
Achilia tu then let her go, adhabu uliyompa ni kubwa sana.!!
Huyo mwanamke asubiri azae watoto wawili apoteze uzuri wake wa awali ndo atajua kwanini wanaume hawasemehi ..
Mi nilianza mahusiano tu, nikakuta ex wake anamkumbushia mbona umenisusa hivo na nikajua wanachat hata baada ya kuwa na mimi,huyo ni mwanamke nayempenda sana na nipo nae hadi saivi anadai kabadilika na namuona kabadilika na ushahidi haukukamilika Ni chat simple sana lakini bcoz alikuwa ex wake tu basi nilitomb* nje Miaka 5 yote hadi leo kafuma msg za Wanawake hadi kachoka,nachompa km support Ni almost nothing na Nina mwanamke mwenye malengo nae nitakayemuoa,Kama adhabu namuhaidi nitamuoa lkn sitamuoa na pamoja na yote hayo sijamsamehe tu.. five good years of asking for msamaha plus kuvumilia useng* wangu wote na bado sijamseheme na anajua Hilo..
Usicheze na moyo wa mwanaume anayekupenda.. sababu kupenda kwetu Ni once na ni udhaifu unadhani biblia iliposema wanaume wapendeni wake zenu Ni kwanini?? mwanaume hajui kupenda kabisaaaaa.Namuonea huruma huyo dada tena sanaaa once a bitch,a bitch


Safii ingewezekana unaenda kumuacha nje ya kanisa kabisa halafu unasepa shenziiii.Yesare you talking from experience??
Obviously wakati huyo mwanamke anazingua kwa sababu na mimi napenda...ntakuwa sijajiandaa kumuacha.Maalum kama ipi mkuu??
Yap kuna tofauti kubwa saanaHivii tofauti ya kusahau na kusamehe ni kubwa sana?
Hahahahahahhahaha kabisa kabisa
Ifikie mahali wote tuwe na 'eksipiliensi'..!!
Ngoja aitwe kwenye kikao cha saa mbili usiku leo aje kupewa darasa hahahahahaMfundshe mwenzio naona vikao vyenu haudhuriag![]()