Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Hili jibu linakatisha mno tamaa!!

sio kukatisha tamaa ndio ukweli halisia ulivyo sema watu wanajipaga tuu matumaini. i can bet u 1 million hamna ong distance relationship iliyodumu more than 1 year na hakuna mmojawapo aliyechepuka either emotionaly au fully mpaka kugegedana.
watu wapo benet na bado kuchepukaring kupo sembuse upo mbali...
 
Sikutaka kusoma comments za watu kama nimerudia ushuri mtanisamehe.The guy has also been cheating where he is.That's why he has forgiven.Na amemaanisha japo hajakiri usaliti wake.
 
Mnalazimisha tuamini kwamba distance hazina uhalisia..

Wapi nimeongelea juu ya distance kuwa hivyo.. kwani haya hayawezi kutokea hata mtaa wa mbele na nyuma?
Kama kakubali ni ukubwa kwamba yeye nae anayatenda ila hasemi... yaani hakuelezi.
 
sio kukatisha tamaa ndio ukweli halisia ulivyo sema watu wanajipaga tuu matumaini. i can bet u 1 million hamna ong distance relationship iliyodumu more than 1 year na hakuna mmojawapo aliyechepuka either emotionaly au fully mpaka kugegedana.
watu wapo benet na bado kuchepukaring kupo sembuse upo mbali...
this is bitter truth, so is this nature au kuna pahala tunakosea??
 
Hi guys,
Hope mmeanza weekend poa.!!

Niende kwa mada, Nina rafiki yangu wa kike alikuwa ana date mpenzi wake ambaye yupo abroad kimasomo, time passes by wakiwa wanaendelea vizuri kwa mahusiano yao wanawasiliana tu vizuri na mara kwa mara..!!

Wakiwa wanaaminiana huku kila mmoja akiahidi ku keep promise as walikuwa committed to each other..

the bad day arrived as girl alikuwa ako na ex wake yupo mkoa mwingine anafanya kazi huko, so ex akawa amerejea akamfuata binti mpaka kwao anaomba waonane japo waongee tu.!!

Hapo ndo pahala mrembo akabugi akaenda onana naye, wakazungumza vizuri huku wanakunywa wine na nafasi ya usaliti ikajitokeza hapo, Na imagine alikuwa amekaa muda mrefu bila kufanya kosa while akimsubiri mpenzi wake,

After that, akakosa gut ya kuongea vizuri na mpenzi wake maana akawa anafeel guilty, Mpenzi wake akagundua changes kwa communication yao, akawa ameforce kutaka kujua what's going down?

Binti uvumilivu ukamshinda akasema ukweli na kuomba radhi, the guy aliumia ila after a while akamuambia kuwa amemsamehe..!!

Sasa tatizo binti ana feel guilty sababu kavumilia muda mrefu kaja kuvunja jungu mlangoni, Pili haamini kama kweli the guy kamsamehe maana kamuambia amvumilie anarudi very soon waongee, ila mrembo anataka aachane naye tu kabla hata hajarudi sababu anasema kama ameweza kum cheat this time after all promises, obviously anahofia hili laweza kujirudia hata ikitokea kamsamehe anaweza muumiza tena..

Kajaribu kumuambia bora iishe ila the guy kagoma katu katu kumuacha, hivi wanaume unaweza salitiwa na mpenzi wako na ukafahamu, na ukamsamehe kwa moyo mmoja na ukawa tayari kuendelea naye bila kinyongo chochote??
Ni rafiki yako au ni wewe mwenyewe,?
 
Sikutaka kusoma comments za watu kama nimerudia ushuri mtanisamehe.The guy has also been cheating where he is.That's why he has forgiven.Na amemaanisha japo hajakiri usaliti wake.
Hujarudia,
that means wote wana hatia, aliyeweka wazi na aliyeficha!?
 
Wapi nimeongelea juu ya distance kuwa hivyo.. kwani haya hayawezi kutokea hata mtaa wa mbele na nyuma?
Kama kakubali ni ukubwa kwamba yeye nae anayatenda ila hasemi... yaani hakuelezi.
Yanatokea hata muwe mna share the same bed,
I generalised that almost kila mtu humu katoa the same negative opinion about L.D.R...!!
 
this is bitter truth, so is this nature au kuna pahala tunakosea??

tunapokosea ni pale tunapojidanganya kuwa wecan fight nature....wee tumeumbwa watu tugegedane basi. intimacy is key/ need ya mwanadamu. so lets accept it kuwa ukishaenda zako mbali kaa ukijua kuwa huna chako tena hapo...usijipe matumaini ambayo hayapo
 
Hujarudia,
that means wote wana hatia, aliyeweka wazi na aliyeficha!?
Yes mkuu,kukiri usaliti ni ujasiri sana,na kuficha usaliti ni uoga mkubwa sana ndio maana unaona mshikaji amesamehe haraka hivyo.Sababu kuu amemsaliti rafiki yako pasi na idadi au kwa idadi kubwa sana hata anajionea aibu.Ndio maana ameweza kusamehe ili apate relief.And because this guy is a cheat,atakuja kukamatwa then atatumia gap ya kwamba mbona nilikusamehe wewe unashindwa nini?ila jamaa haitakuwa ni mara yake ya kwanza.Mkuu unajua hata kupiga punyeto ni usaliti?Huwezi kumpigia punyeto demu wako,lazima utaleta mawazo ya mwanamke mwingine unayemtamani ndipo upige punyeto.Huo ni usaliti.
 
tunapokosea ni pale tunapojidanganya kuwa wecan fight nature....wee tumeumbwa watu tugegedane basi. intimacy is key/ need ya mwanadamu. so lets accept it kuwa ukishaenda zako mbali kaa ukijua kuwa huna chako tena hapo...usijipe matumaini ambayo hayapo
😀😀
Mkuu hii comment inaumiza moyo mtu una ka uhusiano kako ka mbali na kila siku unaimbiwa unapendwa halafu uje kupewa comment chungu kama hii,
Ngoja nifute machozi narudi..!!
 
Yes mkuu,kukiri usaliti ni ujasiri sana,na kuficha usaliti ni uoga mkubwa sana ndio maana unaona mshikaji amesamehe haraka hivyo.Sababu kuu amemsaliti rafiki yako pasi na idadi au kwa idadi kubwa sana hata anajionea aibu.Ndio maana ameweza kusamehe ili apate relief.And because this guy is a cheat,atakuja kukamatwa then atatumia gap ya kwamba mbona nilikusamehe wewe unashindwa nini?ila jamaa haitakuwa ni mara yake ya kwanza.Mkuu unajua hata kupiga punyeto ni usaliti?Huwezi kumpigia punyeto demu wako,lazima utaleta mawazo ya mwanamke mwingine unayemtamani ndipo upige punyeto.Huo ni usaliti.
Life will never be fair na hii nature iko rude sana.. if that's the case hakuna anayepona, usaliti wetu unatofautiana tu viwango..!!
 
Sisi hua tunasamehe lkn co kusahau...!!naweza kkuua leo kwa kosa la miaka mi3 iliyopita....ndvyo tulivyo

Ndoa kuvunjika...na mauaji tunayoyackia cku hz yawezkn kisa kikuu kikawa kmtokea ht miaka 7 huko nyuma

Ila mwanaume hjasahau....so kama wajua umemkosea mumeo au hata mpenz kosa liclosahaulika....jitahid kumcare sana asahau....

Lakini kama wew wahic kmcare huwezi...mapeema...chukua kandambili zako...kimya kimya bila kuamsha mende wa ndan kwenu.....SEPA
duuh'..!!
Mnavumilia mengi kumbe!!
Sema wanaume uvumilivu mnauweza bwaana.!!
 
Sisi hua tunasamehe lkn co kusahau...!!naweza kkuua leo kwa kosa la miaka mi3 iliyopita....ndvyo tulivyo

Ndoa kuvunjika...na mauaji tunayoyackia cku hz yawezkn kisa kikuu kikawa kmtokea ht miaka 7 huko nyuma

Ila mwanaume hjasahau....so kama wajua umemkosea mumeo au hata mpenz kosa liclosahaulika....jitahid kumcare sana asahau....

Lakini kama wew wahic kmcare huwezi...mapeema...chukua kandambili zako...kimya kimya bila kuamsha mende wa ndan kwenu.....SEPA
Kwakweli haina haja ya kuamsha mende..
 
Back
Top Bottom