Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

nikuulize swali huyo jamaa alikua ameshammega huyo rafiki yako?
kama bado basi jamaa anataka aje apate kifuta jasho then asepe.
Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃
 
Mwambie aache akili ya kitoto, kilichomtuma aseme ni nini?
Sasa asubiri magunia mawili ya mkaa
Hahaha'..
Ndo maana anataka kusepa ila the guy ndo hataki aende.!!
 
Demu akishatombesha bujue hataacha...mwenyewe kishajiona atakuwa anaachia nyapu wann sasa
 
fanya yoteeee lkn usikosee hata kuchepuka tu na nnakua,m ntaendelea kula mzigo ila hakuna mapnz tena hapo,muda wwte unapigwa tu chini
Mkuu, umewahi ku cheat kwenye mahusiano yako??
 
Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃
So wewe kusamehe na ku start afresh ni ngumu??
 
Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃
Kweli kabisa. kuna demu moja wa kinyarwanda alinizungusha kama miaka 2 hivi aligoma kabisa kunipa papuchi licha ya kwamba nilikuwa karibu nae mpaka kufika kulala nae kitanda kimoja. sikukata tamaa nikajifanya fala.baada ya mda nilihamia mkoa mwingine urafiki ukaendela lakini mapenzi nae yalikuwa yamekwisha.

Siku ya siku akingia kingi akaomba aje kunitembelea. nikamkubalia akaja nikamtafuna wiki mbili mfululizo nikapunguza machungu ya kunizungusha miaka 2. Wanaume tuna mahesabu marefu.
 
Wanaume mbinguni mtaishia kupaskia walaqhi..!!
 
Back
Top Bottom